MO AZUIA JARIBIO YANGA
HELA inaongea nyie! Mwekezaji Mkuu wa Simba bilionea, Mohammed Dewji, amezuia jaribio la kiungo wake mkabaji, Said Ndemla la kwenda kusaini kwa watani wao wa jadi, Yanga.Hiyo, ikiwa ni siku chache kabla ya kiungo huyo kwenda kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Gwambina FC kwenye Uwanja wa Gwambina uliopo Misungwi, Mwanza.Kiungo huyo hivi karibuni ilikuwa inaelezwa kuwepo kwenye mazungumzo...
BELLA SIKURUPUKI KUTOA NYIMBO
BAADA ya ukimya wa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mwanamuziki wa Dansi, Christian Bella ameibuka na kueleza sababu kuwa katika maisha yake hapendi kukurupuka kwenye kazi kwani anapenda akitoa wimbo uwe bora na siyo kubabaisha.Akizungumza na Risasi Jumamosi, Bella alisema kuwa mashabiki zake wanalalamika kwa nini hatoi nyimbo wal a hafanyi shoo kama ilivyo kwa wasanii wengine lakini...
BEKI MATATA KUTUA MAN UNITED
MAN United inasemekana ipo kwenye hatua za mwisho za kumsajili beki wa Crystal Palace, Aaron Wan-bissaka, ambaye wamekuwa wanamfukuzia wa muda mrefu.Muda mwingi wa msimu wa 2018, Manchester United imekuwa inatajwa kumwania WanBissaka, ambaye anang’ara kama beki wa pembeni.Wan-Bissaka anahesabiwa kama miongoni mwa mabeki bora wa kulia kwenye Ligi Kuu England. Manchester United inasemekana imekubali kulipa ada ya pauni...
JUMA KASEJA ASANI MIAKA KMC
KIPA Juma Kaseja ‘Tanzania One’ ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu yake ya KMC aliyoichezea msimu uliopita.Kaseja amesaini mkataba huo leo Jumamosi huku ukiwa ni mwendelezo wa timu hiyo kubakiza nyota wake ambao waliokuwa nao msimu uliopita.Akiwa na kikosi hiko Kaseja amewapa changamoto makipa wenzake, Jonathan Nahimana pamoja na Dennis Richard hali iliyofanya kikosi hicho kuwa imara.Kipa...
YANGA YAFANYA USAJILI MWINGINE WA KUTISHA
Kiungo Mapinduzi Balama amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Yanga.Kiungo huyo amefikia makuabliano na Yanga akitokea Alliance FC ya Mwanza.Usajili huo unaendelea ikiwa ni moja ya maboresho yanayofanywa na uongozi wa klabu ili kujiandaa kuelekea msimu ujao.Ikumbukwe kwa Mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Fredrick Mwakalebela, alisema kuwa wanafanyia kazi ripoti ya Kocha Mkuu Mwinyi...
SAMATTA: TUKO FITI, SENEGAL ANAKUFA
HAINA kuremba kesho aisee, kwani Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta wamejipanga kuhakikisha wanashinda mechi yao ya kwanza mbele ya Senegal.Stars kesho itacheza kwa mara ya kwanza michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) baada ya kupita takribani miaka 39 ambapo itapambana na Senegal kwenye Uwanja wa 30 June huko nchini Misri.Samatta amezungumza na...
VEE MONEY: SIWEZI KUMZUIA MTU JUU YA JUX
AKIWA bado anaandamwa katika mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuvunjika kwa uhusiano wake na msanii mwenzake, Juma Khalid ‘Jux’, staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema kuwa hawezi kumzuia mtu kusema chochote juu yao.Akizungumza na Showbiz, Vee Money alisema kwamba hawezi kuwazuia watu kusema kile ambacho wanajisikia katika mitandao ya kijamii kwa kuwa ni kawaida kwa...
HOTEL YA KITALII YA SNOWCREST ARUSHA YADAIWA KUFILISIWA
HATIMAYE hoteli ya kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasmi baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na taasisi za kifedha na watu binafsi yanayofikia kiasi cha sh. bilioni 14.Hotel hiyo ambayo iliwahi kuzinduliwa kwa mbwembwe na rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, inamilikiwa na mfanyabiashara William Mollel ambaye aliinunua kutoka kwa...