TIBOROHA ATANGAZA WASIWASI YANGA

0

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, amesema ana wasiwasi na klabu hiyo kama itafabya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika.Tiboroha ametoa kauli hiyo baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuongeza idadi ya timu shiriki katika michuano hiyo kutoka mbili mpaka nne.Kutokana na ongezeko hilo, Tiboroha anaamini Yanga haiwezi kupata nafasi hiyo kwani ndiyo kwanza inajipanga kwa...

MKWASA ATOA ONYO YANGA JUU YA USAJILI WA WACHEZAJI KUPITIA YOUTUBE

0

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amefunguka kwa kutoa rai kwa viongozi wa klabu hiyo juu ya usajili wanaoufanya hivi sasa.Mkwasa ambaye hivi sasa bado anaugulia kutokana na tatizo la moyo lililomfanya aachie ngazi Yanga, ameamua kuweka wazi suala la usajili unaondelea klabuni hapo ambao unaenda kwa kasi.Mkwasa amesema ni vizuri zaidi Yanga wakaangalia wachezaji ambao...

WAKILI WA WAMBURA ACHACHAMAA BALAA

0

WAKILI wa Michael Wambura, Fatius Kamugisha ameiomba mahakama kuharakisha uchunguzi wa kesi ya mteja kwa kuwa amekuwa ndani kwa muda na kukosa haki zake za msingi.Katika kesi ya msingi, kigogo huyo anakabiliwa na mashtaka 17, likiwamo la kughushi, shtaka moja la kutoa na kuwasilisha nyaraka za uongo, mashtaka 13 ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na mawili ya...

YANGA YAMFICHA HOTELINI STRAIKA SIMBA

0

UNAMKUMBUKa yule straika ambaye Simba ilitangaza kumsajili kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018/19?Straika huyo si mwingine bali ni Vitalis Mayanga aliyekuwa Ndanda FC ambaye katika msimu wa 2018/19, aliwafanya vibaya Yanga katika mechi zote mbili walizokutana zilizomalizika kwa sare ya 1-1.Mayanga katika mchezo wa kwanza dhidi ya Yanga...

MBADALA WA ROMELU LUKAKU UNITED NI HUYU HAPA

0

MANCHESTER United wanampigia hesabu za kumsajili mshambuliaji wa kikosi cha Frankfurt, Sebastien Haller kwa ajili ya msimu ujao.United wanaitaka saini ya mchezaji huyo ili awe mbadala wa nyota wao Romelu Lukaku ambaye anahitaji kusepa ndani ya kikosi hicho.Kikosi cha Inter Milan kimeonyesha nia ya kupata saini ya mchezaji huyo ambaye ni mshambuliaji anayekipiga timu ya Taifa pia ya Ubelgiji.Mabosi...

WANNE WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUCHAPISHA MAUDHUI HASI YOUTUBE

0

Serikali imewafikisha mahakamani watu wanne kujibu shtaka la kuchapisha maudhui katika mtandao wa YouTube bila kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Washtakiwa hao ni Charles Kombe (24) mkazi wa Mikocheni, John Chuwa (28), mkazi wa Baracuda, Amos Warema (27) na Raymond Mkoroka (30). Walipanda kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Walisomewa mashtaka hayo mbele ya mahakimu mkazi...

MMOJA TEGEMEO YANGA ANASWA AZAM

0

INADAIWA beki kisiki wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ anawaniwa na mabingwa wa Kombe la Shirikisho (FA), Azam FC ambayo msimu ujao itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika.Dante amekuwa mmoja kati ya mabeki wa kati wa Yanga waliofanya vizuri msimu wa 2018/19 kwa kushirikiana na beki mkongwe Kelvin Yondani.Habari za ndani zinadai kuwa nyota huyo anawindwa na Azam pamoja na timu...

CRISTIANO RONALDO HANA MPANGO WA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA

0

CRISTIANO Ronaldo mchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno amesema kuwa bado ana imani ya kuitumikai timu yake ya Taifa kwa kubwa bado ana nguvu.Licha ya kuwa na umri wa miaka 34 bado amekuwa ni msaada ndani ya kikosi cha Ureno licha ya kushindwa kufanikiwa kutwaa kombe la Dunia mwaka jana.Ronaldo ambaye mwaka 2018 alishinda taji la Ligi ya...

Kwa mujibu wa kanuni, Lipuli hawakustahili.

0

Kimsingi si Lipuli Fc ndio alitakiwa aende kushiriki michuano ya Kimataifa kwa msimu ujao kwa maana ya Kombe la shirikisho Africa na ni KMC kwa mujibu wa kanuni.Baada ya CAF kuthibitisha Tanzania itakua na wawakilishi wanne katika michuano ya msimu ujao ya CAF, KMC alitangazwa kuwa ndiye atakewakilisha nchi katika Kombe la shirikisho akichukua nafasi ya mshindi...

MANARA: YANGA NI WASHIRIKI VITI MAALUM CAF – VIDEO

0

Kauli ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na Yanga kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.