NEYMAR KUUNGANA NA MESSI PAMOJA NA SUAREZ BARCELONA: TETESI ZA LEO JUMATANO HIZI HAPA
Mshambuliaji wa Manchester United Mbelgiji Romelo Lukaku upo tayari kukatwa mshahara ili ahamie klabu ya Inter Milan hivi karibuni. (Gazzetta dello Sport)Kocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer ameipa klabu yake muda mpaka mwakani kuuza wachezaji wote asiowataka ikiwa kama sehemu ya miango yake ya kuijenga upya klabu hiyo. (MEN)Barcelona wameamua kuendelea na kocha Ernesto Valverde kwa msimu ujao...
HAWA HAPA WACHEZAJI PASUA KICHWA KWA ZAHERA WA YANGA
Ibrahim AjibuKesho, Mei 30 mkataba wake unamalizika ndani ya Yanga, bado amekuwa pasua kichwa kwa kocha Mwinyi Zahera kutokana na kuvuruga dili lake la kusepa kwenda TP Mazembe na mpaka sasa hajaonana na kocha wake huyo ambaye ndiye alimshauri ajiunge na Mazembe.Amissi TambweAmekuwa bora mwishoni licha ya kuanza kwa kusuasua majeruhi yamemfanya asiwe bora, mkataba wake nae upo ukingoni...
SHANGWE ZA SIMBA KUANZIA KIBAHA LEO
BAADA ya kutwaa ubingwa jana, mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba leo wanarejea makao makuu ya klabu Msimbazi kuendeleza sherehe za ubingwa.Sherehe za ubingwa zitaanzia maeneo ya Kibaha, mkoani Pwani majira ya saa 5:30 ambapo wachezaji pamoja na kombe watapanda gari la wazi kuwaonyesha kombe mashabiki wao.Mchezo wao wa mwisho jana walikubali suluhu mbele ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa...
Mechi yetu na Azam FC ilikuwa ya kirafiki- Zahera
Jana katika uwanja wa Taifa kulikuwa na mechi kati ya Yanga na Azam FC, mechi iliyomalizika kwa Azam FC kushinda goli 2-0.Baada ya mchezo huo kocha mkuu wa Yanga amedai kuwa mechi hiyo ilikuwa ni kama ya kirafiki kwa sababu wachezaji walikuwa wanacheza wanavyojisikia.” Mechi haikuwa na ushindani, wachezaji walikuwa wanacheza bila maelekezo. Unaona Makambo anabaki na...
Okwi sio mchezaji wa Simba! Kaizer Chiefs yahusika
Juzi Emmanuel Okwi aliandika katika mtandao wake wa Instagram kuwa neno kwa heri ni neno chungu sana.Maneno ambayo yaliweka mjadala kuhusiana na Emmanuel Okwi kuendelea kuwepo Simba. Leo hii Simba imedhibitisha kuwa Emmanuel Okwi siyo mchezaji wao.Akizungumza na mtandao huu , mkuregenzi mtendaji wa Simba, bwana Magori amedai kuwa Emmanuel Okwi ameshamaliza mkataba na Simba.Alipoulizwa kuhusu tetesi...
RUVU SHOOTING HAWAAMINI WANACHOKIONA TPL
KOCHA wa Ruvu Shooting, Ablumutik Haji amesema kuwa haamini macho yake kubaki ligi kuu kwani alikuwa anapitia kipindi kigumu msimu huu hali iliyomfanya akate tamaa.Ruvu Shooting jana ilishinda mbele ya Alliance kwa bao 1-0 na kubaki kwenye ligi baada ya kufikisha jumla ya pointi 45 ikiwa nafasi ya 15."Ngumu kuamini ila mwisho wa siku namshukuru Mungu kwa kutupigania na...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano