WAYNE ROONEY AITAKA MIKOBA YA OLE GUNARR NDANI YA MANCHESTER UNITED
WAYNE Rooney, nyota wa zamani wa Manchester United amesema kuwa malengo yake makubwa ni kuja kuwa Kocha wa kikosi cha United atakapostaafu Soka.United Kwa...
YANGA WAZIDI KUMIMINIKA TAIFA, HILO NYOMI KAMA LOTE LEO
MASHABIKI wa Yanga wanazidi kujitokeza kwa wingi leo uwanja wa Taifa kwa ajili ya kushuhudia burudani maalumu.Leo Yanga inahitimisha rasmi wiki ya Mwananchi ambapo...
BEKI KISIKI WA SIMBA KUTIMKIA MOROCCO
INAELEZWA kuwa beki wa timu ya Simba, Juuko Murshid yupo mbioni kujiunga na klabu ya Wydad Casablanca kwa kandarasi ya miaka miwili.Nyota huyo anayekipiga...
NDAYIRAGIJE ABEBA MATUMAINI YA WATANZANIA, APANIA KUFANYA MAAJABU MBELE YA KENYA
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,amesema katika mchezo wa leo wa marudiano kufuzu fainali za Afrika kwa wachezaji wa...
SAMATTA AFUNGUA AKAUNTI MPYA YA MABAO UBELGIJI
LICHA ya timu yake kupoteza kwa kufungwa mabao 3-1 na timu ya Kv Muchelen bado Mbwana Samatta alicheka na nyavu.Samatta alipachika bao la kufuta...
YANGA YAMWAGA MAWAKALA MIA UWANJA WA TAIFA KWA AJILI YA MASHABIKI
DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa mashabiki wasiwe na mashaka juu ya kilele cha Mwananchi mipango imekamilika.Kwa upande wa mashabiki ambao hawajapata...
LEO UTAKUWA WAPI MAANA MECHI ZOTE KALI ZIPO NAMNA HII, CHEKI RATIBA
COSAFATanzania (Tanzanite) v Eswatin, saa 9:00.Kufuzu CHAN 2020.Kenya vs Tanzania, saa 10:00.Wiki ya WananchiYanga vs Kariobang Sharks, saa 10:00.Ngao ya JamiiManchester City vs Liverpool,...
SABABU YA SANCHEZ KUBUMA MANCHESTER UNITED YATAJWA
ROBIN Van Persie, mshambuliaji wa zamani wa Manchester United amesema kuwa Alexis Sanchez hana furaha ndani ya Manchester United.Sanchez amejiunga na United akitokea Arsenal...
TAIFA KUMEANZA KUNOGA, HISTORA MPYA KUANDIKWA LEO
LEO ni kilele cha SportPesawikiyaMwananchi uwanja wa Taifa ambapo tayari mashabiki wameanza kujitokeza kwa wingi.Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma gazeti la SPOTITRA Jumapili












