MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili

DYBALA AAMUA KUPUUZIA MAWAZO YA CR 7

0

RIPOTI zinaeleza kuwa, Paulo Dybala mshambuliaji wa Juventus amewaambia mabosi wake kuwa hana mpango wa kujiunga na Manchester United kwa kuhofia kumuweka kwenye hatari...

KIKOSI CHA MAANGAMIZI KWA KLABU YA COASTAL UNION MSIMU WA 2019/20 KIBA OUT

0

KIKOSI kamili cha timu ya COASTAL Union yenye maskani yake Tanga kinachodhaminiwa na Binslum kwa msimu wa mwaka 2019/20, Ally Kiba ameachwa 

KOCHA STARS: LEO KENYA HAWATOKI, TUPO TAYARI KUPATA MATOKEO CHANYA

0

ETIENNE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa nafasi ni kubwa kushinda mbele ya Kenya leo.Stars ipo...

ALICHOFANYIWA MWILI JUMBA AMBAYE NI MBADALA WA MAKAMBO NDANI YA YANGA KIBOKO

0

DAVID Molinga 'Mwili Jumba' ambaye ni badala wa Heritier Makambo jana amekiona cha moto baada ya kupewa mazoezi ya nguvu na Kocha Mkuu wa...

KOCHA TANZANITE: TUPO TAYARI KUWAVAA ESWATINI LEO

0

BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20,'Tanzanite' amesema kuwa leo kikosi kipo tayari kwa ajili...

KMC: AS KIGALI TUNAWAMUDU KABISA

0

JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa timu ya KMC amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya michuano ya kimataifa. KMC itamenyana na AS...

WABABE WA EVERTON WANATAMBA KWA SASA NDANI YA DAR, KESHO KUONYESHA UBABE TAIFA

0

KARIOBANGI Sharks, wababe wa kikosi cha Everton ambacho kinadhaminiwa na SportPesa tayari wapo ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo...

NAHODHA TANZANITE: KICHAPO KINAWAHUSU WAPINZANI WETU KESHO

0

ENEKIA Kasonga, nahodha wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20, amesema kuwa kesho wanaendeleza moto wao wa ushindi kwenye...

WALICHOPANGA SIMBA KIMATAIFA NOMA, MWENDO WA YANGA BALAA, NI KESHO NDANI YA SPOTIXTRA

0

YANGA sasa kesho ndo kilele cha siku ya Mwananchi mambo yamepamba moto, Simba hawapoi pia ni kesho ndani ya SPOTIXTRA Jumapili