POGBA KUMBE ANAWAZINGUA MANCHESTER UNITED
IMEELEZWA kuwa Paul Pogba anatumia nguvu kujiondoa ndani ya kikosi cha Manchester United.Pogba hajajiunga na kikosi ambacho kitacheza na AC Milan leo mchezo wa...
AZAM FC YATOSHANA NGUVU NA RUVU SHOOTING
MCHEZO wa kirafiki uliochezwa leo kati ya Azam FC na Ruvu Shooting umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu.Mpaka dakika tisini zinakamilika hakuna timu iliyoona...
NAHODHA YANGA AWAITA MASHABIKI KESHO TAIFA SIKU YA MWANANCHI
PAPPY Tshishimbi, nahodha wa kikosi cha Yanga amewataka mashabiki kesho kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kushushudia burudani.Kesho ni kilele cha siku ya Mwananchi...
SPORTIPESA SIMBA WIKI YAENDELEA LEO NAMNA HII
KLABU ya Simba leo imetembelea hospital ya Ocean Road na kuwajulia hali wagonjwa pamoja na kuwapa mahitaji maalumu.Huu ni mwendelezo wa Simba kuelekea SportPesa...
DAU LA SAMATTA NOMA, GENK WAZIDI KUMKOMALIA KINOMA
UONGOZI wa klabu ya KRC Genk umeamua kuongeza tena dau kwa timu zinazomtaka mshambuliaji wake, Mtanzania Mbwana Samatta kutoka shilingi bilioni 40 hadi kufikia...
KICHUYA: NINARUDI BONGO KUCHEZA HAKUNA TAABU
SHIZA Kichuya ameweka wazi kwamba baada ya muda wake kumalizika ndani ya klabu ya ENNPI ya Misri kwa sasa anatamani kuondoka nchini humo huku...
HAJI MANARA ATANGAZA KUBWAGA MANYANGA NDANI YA SIMBA
IMEELEZWA kuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa anampango wa kuachia ngazi ya uongozi ndani ya Simba.Kwa sasa nafasi ya Ofisa Habari...
HIZI NDIZO SABABU ZA KINDOKI KUPIGWA CHINI YANGA, MWILI JUMBA ATAJWA
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amethibitisha kuwa ameliondoa jina la kipa wake, Klaus Kindoki katika usajili wao na kumpeleka kwa mkopo Lupopo FC...
YANGA WAENDELEA NA SPOTIPESA WIKI YA MWANANCHI
MASHABIKI wa Yanga wa mkaoni Njombe wamendelea na wiki ya SportiPesaWikiYaMwanachi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.Licha ya baridi kali ya mkoani Njombe, haikuweza...
KIKOSI CHA MAUAJI CHA MBAO FC MSIMU WA 2019/20
KIKOSI kazi cha Mbao FC msimu wa 2019/20 kipo namna hii:-












