SIMBA: TUPO FITI KUMENYANA NA POWER DYNAMO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuelekea kwenye SportPesa Simba Wiki wamejipanga kufanya makubwa msimu ujao na wataanza kufanya hivyo kesho kwenye mchezo wa kirafiki...
YANGA YAPANIA KUFANYA MAAJABU MAKUBWA MSIMU UJAO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa matatizo ya kikosi chake kwa sasa ni madogo na atayafanyia kazi.Zahera amesema kuwa kwa sasa anakisuka...
NAHODHA STARS AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO
JUMA Kaseja, nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa siri kubwa ya ushindi ni kujiamini na kufanya kazi kwa...
MENEJA WA MANCHESTER CITY AWEKA REKODI YA AINA YAKE
PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amekuwa wa kwanza msimu huu kuonyeshwa kadi ya njano kwa mameneja ambao wanafundisha Ligi Kuu England.Guardiola ameonyeshwa kadi...
NYOTA STARS: INAWEZEKANA KUPATA USHINDI LEO MBELE YA KENYA
BAKARI Malima 'Jembe Ulaya' ambaye ni nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo amezungumza na wachezaji wa kikosi hicho...
PEPE AAMBIWA AMEBUGI KUTUA ARSENAL KWA SASA
CHRISTOPHER Galtier, Meneja wa Lille amesema kuwa ameshangazwa na kitendo cha nyota wa kikosi hicho Nicolas Pepe kujiunga na Arsenal.Meneja huyo amesema kuwa Arsenal...
JESHI LA TAIFA STARS LITAKALOKIPIGA LEO DHIDI YA KENYA KUFUZU CHAN
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kitakachoanza leo dhidi ya Kenya kufunzu Chan.
KIKOSI CHA TANZANITE KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA ESWATINI, COSAFA
KIKOSI cha Tanzanite kitakachoanza leo dhidi ya Eswatini COSAFA
SIMBA YAZIDI KUPAMBA MOTO, LEO WACHEZAJI KUPIGA PICHA NA MASHABIKI
WACHEZAJI wa Simba leo watapiga picha na mashabiki wao ambao wamenunua tikite za Platinum Plus pamoja na zile za Platinum katika hotel ya Serena.Zoezi...
ASHLEY YOUNG APEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA UNITED
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United amechagua jina la Ashley Young mwenye umri wa miaka 34 kuwa nahodha wa kikosi hicho.Beki huyo alikuwa...











