NTIBAZONKIZA AFUNGUKA KILICHOMFANYA AENDELEE KUBAKI KATIKA KLABU YA SIMBA

0

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi na Klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza, amesema amerejea kivingine kwenye majukumu yake ndani ya klabu hiyo kuelekea msimu wa 2023/24. Ntibazonkiza alimaliza msimu uliopita akiwa na mabao 17 sawa na Fiston Mayele wa Young Africans, hivyo wote wakatunukiwa kiatu cha ufungaji bora msimu wa 2022/23. Akizungumza jijini Dar es salaam kabla ya kuanza safari ya...

IFANYE JUMANNE YAKO YA LEO KUWA SPESHO KWA MTONYO KUTOKA MERIDIANBET…JARIBU UONE..

0
Meridianbet

Mwaka una jumla ya siku 365 ikiwa ni jumla ya miezi 12, kila mwezi ukiwa na wiki 4 sawa ya siku za Jumanne 4, je kati ya siku 7 za wiki ni siku gani yenye bahati kwako?  Meridianbet kama kawaida yao kila kukicha huja na vitu spesho kwa wateja wake, na mwezi huu wa 7 wameanzisha utaratibu wa kugawa...

KOCHA MPYA WA YANGA AWATULIZA MASHABIKI, AZUNGUMZIA MSIMU WAKE NI ZAIDI YA NABI

0
Kocha Mpya wa Yanga

Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amewataka Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo kutarajia mazuri zaidi ya msimu uliopita, hivyo wanapaswa kuwa watulivu na kumpa ushirikiano wakati wote. Gamondi ambaye aliwasili nchini usiku wa Ijumaa (Julai 7), anatarajia kuanza kukinoa kikosi cha Young Africans kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho Tanzania Bara...

BEKI MPYA WA SIMBA AFUNGUKA KILICHOMSHAWISHI KUJIUNGA NA KLABU HIYO

0

Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba SC akitokea Coton Sports ya Cameroon, beki Che Malone Fondoh amefunguka akisema amekuja kwa ajili ya kuwapa furaha Wanasimba. Malone aliyeibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Cameroon kwa msimu uliopita ni miongoni mwa nyota waliosajiliwa Simba SC, kwa kulazimika kuvunja mkataba ili kutua Msimbazi. Simba SC imetambulisha wachezaji wengine wapya wa...

KAMA HUJAWAHI KUWEKA MKEKA WAKO KWENYE TENESI….HII NI FURSA YAKO…PESA IKO HUKU AISEE..

0
Meridianbet

Yale mashindano makubwa na maarufu ya mchezo pendwa wa Tenisi yanayojulikana kama Wimbledon hatimaye yameanza kutimua vumbi kuanzia Julai 4 na yatafikia ukingoni Julai 16 mwaka huu. Meridianbet matajiri wa odds kubwa wametoa ofa kubwa kwa watakaobeti wiki hii.  Ofa hii ipo katika mtindo wa bonasi ambapo washindi 50 wenye tiketi nyingi zenye mechi za mashindano ya Wimbledon watapatiwa bonasi...

HIZI OFA TATU ZILIZOPO MEZANI KWA YANGA KWAAJILI YA MAYELE, HII SASA KUFURU

0
Habari za Yanga

MASHABIKI na wapenzi wa Yanga wamekaa mkao wa kula kusikilizia hatma ya straika na Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita na Kombe la Shirikisho Afrika, Fiston Mayele ambaye inaelezwa jana alitarajiwa kukutana tena na mabosi wa Yanga kukata mzizi. Mayele alifunga mabao 17 na kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu, huku akifunga mabao 14, yakiwamo saba ya Kombe...

SIMBA YAFANYA MAGEUZI NDANI YA WIKI TATU,…. ROBERTINHO ATAMBA

1
Habari za Simba SC

Dar es Salaam. Simba imemtambulisha Che Fondoh Malone ikiwa ni hatua za mwisho kumalizia utambulisho wa wachezaji iliowasajili, huku ikiondoka leo kwenda Uturuki itakapoweka kambi ya wiki tatu. Baada ya Malone, aliyetambulishwa juzi, sasa anayefuata ni kipa Mbrazili Caique de Santos na wachezaji wengine wasiozidi wanne akiwemo beki mmoja na kiungo mmoja wazawa na baada ya hapo watafunga hesabu. Mwananchi wamejuzwa...

DILI LA ONYANGO LIPO HIVI KUMBE HAKWENDA SINGIDA FOUNTAIN GATE KWA MKOPO ISHU NZIMA IKO HIVI….

0

SIMBA juzi imemtangaza rasmi Che Fondoh Malone kuwa Mnyama ili kuchukua nafasi ya Mkenya Joash Onyango, huku awali ikielezwa kwamba ametolewa kwa mkopo kwa Singida Fountain Gate, lakini imebainika dili la beki huyo wa kati halipo kama ilivyoelezwa awali. Onyango aliyesajiliwa na Simba misimu mitatu iliyopita akitokea Gor Mahia ya Kenya, alikuwa akishinikiza kuondoka klabu hapo tangu kwenye dirisha dogo,...

MAYELE AWA GUMZO AFRIKA LIPO LA KUJIFUNZA

0
Habari za Yanga

Hapana shaka yoyote kuwa Fiston Mayele ni miongoni mwa washambuliaji bora kwa sasa hapa nchini na kuna kundi kubwa la wachezaji wa nafasi yake wanaotamani kuwa kama yeye. Uwezo wake wa kufumania nyavu, kasi, uamuzi wa haraka pindi awapo na mpira miguuni pamoja na hesabu sahihi za kujua awe wapi pindi mpira unapoelekezwa langoni mwa timu pinzani umemfanya awe tishio...

USAJILI WA SIMBA WAITISHA YANGA, ALLY KAMWE AJITETEA

0
Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Usajili ambao unazidi kufanywa na Simba SC umewaibu Young Africans huku wao wakiweka wazi kuwa wala hawatishiki, na badala yake wao wanajikita zaidi na usajili wao ili waweze kufikia malengo ya msimu unaotarajiwa kuanza mwezi Agosti. Simba SC mpaka sasa tayari wameshatambulisha vifaa vya maana vya kimataifa vitatu ambavyo ni beki kutoka Cameroon, Che Fonde Malone, winga kutoka Cameroon, Willson...