BAADA YA KUANZA NA KIBABAGE…..MAJEMBE MENGINE YANGA KUTUA KWA STAILI HII…

0
Tetesi za usajili Yanga

Uongozi wa Yanga umesitiza juu ya kumalizana na wachezaji wote ambao walikuwa wakiwahitaji, huku wakiweka wazi kuwa hakuna mchezaji mwingine yeyote ambaye walikuwa wanamhitaji ambaye hawajamalizana naye. Yanga mpaka sasa tayari wamemtambulisha mchezaji mmoja, mzawa winga Nickson Kibabage kutoka Singida Fountain Gate alikokuwa kwa mkopo akitokea Mtibwa Sugar huku kwa wachezaji wa kigeni wakiwa bado hawajaanza kazi. Yanga wanahusishwa kukamilisha usajili...

BAADA YA SAKATA LA FEI TOTO NA YANGA SASA NI ZAMU YA BANDA AKIMBILIA HUKU

0

Beki wa Tanzania, Abdi Banda anayecheza Afrika Kusini, ameweka wazi kinachoendelea kati yake na klabu ya Chippa United, baada ya hivi karibuni kutumiwa barua ya kuvunjiwa mkataba. Banda aliingia mgogoro na klabu hiyo baada ya kuitwa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Mei mwaka huu na Chippa ilimtaka kupunguza mshahara wake kuanzia Juni Mosi jambo ambalo ameligomea. Banda amesema kitendo cha kukataa...

MITAMBO IMEWASHWA YANGA….MRITHI WA KISINDA HUYU HAPA….JAMAA NI CHUMAA HASWA…

1
Tetesi za Usajili Yanga

Harakati za usajili zinaendelea kwa ajili ya msimu ujao ni baada ya Young Africans kumtumia tiketi ya Ndege, winga wa Klabu ya AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia Nzengeli. Nzengeli ni kati ya wachezaji ambao walikuwepo katika mipango ya kusajiliwa na Young Africans kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Winga huyo anayetumia mguu wa kulia,...

SIKU CHACHE BAADA YA KUTUA JKT…DILUNGA AFUNGUKA MAPYA KUHUSU ISHU YAKE NA SIMBA…

0
Habari za Michezo leo

Baada ya kukamilisha usajili wa kujiunga na maafande wa JKT Tanzania kiungo wa pembeni wa zamani wa Simba SC, Hassani Dilunga ‘HD’ amekiri kuwa Simba SC haina baya kwake na anaitakia kila la heri kwa ajili ya msimu ujao wa 2023/24. Kiungo huyo ambaye alicheza Simba SC kwa misimu mitatu, ameingia kandarasi ya miaka miwili ikiwa ni miezi kadhaa tangu...

KUHUSU ISHU YA MABOSI SIMBA KUMPANGIA KOCHA KIKOSI…JEMEDARI SAID AFUNGUKA MAPYA …

0
Habari za Simba

Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said amesema kuwa viongozi wa baadhi ya vilabu vya soka nchini wamekuwa na tabia ya kutowajali wachezaji wao jambo linalosababisha mvurugano baina ya klabu na mchezaji. Jemedari amesema hayo kufuatia kauli ya aliyekuwa kiungo wa Simba Sc, Nelson Okwa kudai kuwa amepotezewa muda mwingi na klabu hiyo na kwamba alikuwa hapangwi kucheza mechi bila sababu za...

BAADA YA KUPEWA ‘THANK YOU’ …MKUDE ATUMIKA KUITISHA SIMBA….YANGA WATAMBA KUTIBUA MAMBO..

0
Tetesi za Usajili Yanga

Uongozi wa Young Africans umeweka wazi kuwa licha ya utani wa jadi uliopo baina yao na Simba SC bado kuna jambo wanalisikitikia hasa kumuacha kiungo mzoefu, Jonas Mkude. Mkude Juni 22, ‘Thank You’ kutoka Simba SC ilipita naye baada ya mkataba wake kuisha hivyo kwa sasa yupo huru akitajwa kuwa kwenye rada za watani zao wa jadi, Young Africans. Ikumbukwe kwamba...

KOCHA WA YANGA AWEKA CV HADHARANI, ATOA KAULI NZITO KWA MASHABIKI

0
Kocha Mpya Yanga Miguel Angel

YANGA SC, imematangaza Miguel Ángel Gamondi, kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua mikoba ya Mtunisia, Nasreddine Nabi ambaye waliachana naye hivi karibuni baada ya mkataba wake kufikia tamati. Gamondi raia wa Argentina, anajiunga na Yanga akiwa mzoefu wa kufundisha soka Afrika kwa zaidi ya miaka 20, huku muda wake mwingi akiutumia kufundisha timu za Ukanda wa Kaskazini mwa Afrika. Kocha...

FEI TOTO AFUNGUKA KITU ATAKACHOIFANYIA AZAM, AWAAMBIA HAYA WACHEZAJI WENZAKE

0
Fei toto asaini Azam FC

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema amezungumza na wachezaji wenzake kikosini hapo na kukubaliana kufikia malengo yao msimu ujao wa 2023/24 ikiwa ni pamoja na kupata ushindi kwenye mechi zao. Fei Toto amesajiliwa na Azam FC akitokea Yanga, ataanza changamoto mpya kwenye kikosi hicho msimu wa 2023/24. Timu hiyo ambayo itakuwa chini ya Kocha Mkuu, Youssouph Dabo raia...

BREAKING NEWS : SIMBA WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAKE HUYU MPYA MUDA HUU

0

KLABU ya imemtambulisha beki wa katí, Che Fondoh Malone Junior kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Coton Sport ya kwao, Cameroon. Che Fondoh Malone Junior (24), anakuwa mchezaji mpya wa tatu tu Simba SC baada ya winga wa kushoto, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast na mshambuliaji Mcameroon, Leandre Essomba Willy Onana...

MSUVA AFUNGUKA MASHARTI YAKE HAYA KAMA SIMBA, YANGA ZINAMTAKA

0
SIMON MSUVA AMUHAKIKISHIA MAMA SAMIA...AFCON 2023 TUNAKWENDA

WAKATI mastaa wenzake wa daraja lake wakila bata kwenye fukwe mbalimbali za starehe kipindi hiki cha mapumziko mambo ni tofauti kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva amekuwa akitumia zaidi ya saa mbili kwa siku kuvuja jasho ili kuwa tayari kwa kazi muda wowote. Kwa sasa Msuva yupo nchini kwa zaidi ya wiki tatu kwa mapumziko kufuatia msimu wa...