KUHUSU DILI LA BAJANA KUTUA SIMBA….MBRAZILI APIGILIA MSUMARI WA MOTO…MSIMAMO WAKE HUU HAPA..

0
Tetesi za Usajili Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' yupo siriazi kwelikweli akimtaja kiungo mkabaji na nahodha wa Azam, Sospeter Bajana baada ya kusisitiza kwa kuwaambia mabosi wa klabu hiyo kuhakikisha wanamleta mkali huyo kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo kwa msimu ujao. Kiungo huyo ni mmoja ya wachezaji ambao wamependekezwa na kocha huyo raia wa Brazili kwa ajili ya kikosi cha msimu...

WASAUZI WAJITOSA KWA FEI TOTO…SIMBA NA AZAM WAKICHUNGULIA ISHU YAKE NA YANGA ILIVYO…

0
Tetesi za Usajili Yanga

Wakati kamati ya hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) likisisitiza kuwa Feisal Salum "Feitoto" ni mali ya Yanga SC, klabu ya soka inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika Kusini (PSL) Sekhukhune United imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo huyo wa timu ya taifa ya Tanzania. Inasemekana mazungumzo kati ya klabu hiyo pamoja na wawakilishi wa Feisal Salum...

MAKAMBO NA YACOUBA KUTIKISA TENA LIGI YA BONGO…MAMBO YAPIGWA KIMYA KIMYA AISEE..

0
Tetesi za Usajili Bongo

Uongozi wa Klabu ya Kitayosce FC (Tabora united) umedhamiria kumsajili Mshambuliaji wa Ihefu FC Yacouba Sogne pamoja na Mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Herietier Makambo ili kuboresha kikosi cha klabu hiyo ambayo itashiriki kwa mara ya kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao 2023/24. Kitayosce FC itashiriki Ligi Kuu msimu ujao ikitokea Ligi ya Championship sambamba na Mabingwa wa...

MBADALA WA ONYANGO SIMBA HUYU HAPA….JAMAA ANAKABA MPAKA PUMZI AISEE…

0
Tetesi za usajili Simba

Simba ipo katika harakati za kusuka upya kikosi chake na sasa imetua kwa beki na nahodha msaidizi wa timu ya taifa ya Rwanda Thierry Manzi ambaye kwa sasa yupo nchini Ubelgiji. Manzi ni beki wa kati anayemudu kucheza namba nne na tano akitumia vyema miguu yote kwa ufasaha na anasifika kwa kukaba, kuanzisha mashambulizi na ni mkali wa kucheza mipira...

HAYA HAPA MAJEMBE SABA YA SIMBA YA UHAKIKA…MABOSI WAKENUA MENO….

0
Habari za Simba

Majembe saba yanayovuja jasho la haki ndani ya kikosi cha Simba yamewapa kicheko mabosi wa timu hiyo wakiamini kuwa hawajabahatisha kupenya kwenye orodha ya kuwania tuzo bali ubora umewababe. Katika orodha ya kuwania tuzo ndani ya ligi msimu wa 2022/23 tayari Kamati ya Tuzo Tanzania iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imetaja mastaa waliopenya kuwania tuzo zinazotarajiwa kufanyika...

YANGA WATAKA BILIONI 5 KUMUUZA MAYELE…MAMELOD, AL HILAL NA MAZEMBE KUTUMA OFA NONO ZAIDI..

0
Habari za Yanga SC

Wakati tetesi zikisambaa kila kona kuhitajika nwa Vilabu vingi Barani Afrika kwa Mshambualiaji wa Yanga Fiston Mayele. Afisa wa habari wa Yanga Ali Kamwe amevikaribisha vilabu vyote ambavyo vinamtaka mshambuliaji wao Fiston kalala Mayele waje wakae mezani wamalizane. "Sisi Kama Yanga hatuwezi kumzuia Fiston kalala Mayele kwenda sehemu nyingine Ila thamani ya Fiston kalala Mayele kwa sasa ni Billion 5 kuvunja...

HII HAPA MASHINE YA KAZI KUTOKA ASEC MIMOSAS INAYOKUJA YANGA…SHABANI DJUMA ATAFUTE PAKWENDA..

0
Tetesi za usajili Yanga

Tetesi zinaeleza kuwa Yanga wanamfuatilia beki wa kulia wa ASEC MIMOSAS ya Ivory Coast, Yao Kouassi Attohoula mwenye umri miaka 26. Beki huyo anasifika kwa uwezo mkubwa wa kukaba na kupandisha mashambulizi bila kusahau kupiga krosi za maana. Msimu huu kwenye ligi ya Ivory Coast amefunga mabao 2 na pasi 7 za mabao huku kwenye Shirikisho akipiga pasi 3 za mabao. Djuma...

YANGA MPYA HII HAPA…HUKU MAYELE KULE CHIVA…ISHU YA SAIDOO NA SIMBA IKO HIVI…

0
Gazeti la mwanaspoti la leo

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumatano ya 24/5/2023.

BENKI YA NBC YAZINDUA RASMI USAJILI WA MBIO ZA NBC DODOMA MARATHON 2023…

0
NBC Marathon 2023

Benki ya NBC imetangaza kufanyika kwa mbio kubwa za NBC Dodoma Marathon mwaka 2023 siku ya Jumapili tarehe 23 Julai 2023 mkoani wa Dodoma. Lengo kuu la mbio za NBC Dodoma Marathon ni kukusanya fedha ili kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na kuchangia kutoa ufadhili wa elimu kwa wanafunzi wanaosomea taaluma ya ukunga  ili kuboresha afya...

MCHONGO MPYA HUU HAPA…KAMATA TV MPYAAA KUTOKA MERIDIANBET…ZINGATIA HAYA TU…

0
Meridianbet

Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea promosheni baab kubwa! Ukicheza sloti ya 3 dancing Monkey unaweza kujishindia zawadi ya TV mpyaa inch 55. Promosheni hii ya kijanja ambayo ni maalum kwaajili ya kufunga mwezi May na kuukaribisha mwezi wa mavuno Juni, imeanza tarehe 22 May, 2023 mpaka 31 May 2023, mshindi atatangazwa Juni 1, 2023. Mshindi wa promosheni ya mchezo wa 3...