MARIO BALLOTELI AMKATAA RONALDO HADHARANI…ISHU NZIMA IKO HIVI

0
MARIO BALLOTELI AMKATAA RONALDO HADHARANI...ISHU NZIMA IKO HIVI

Mjadala wa kumjua mchezaji gani ni bora zaidi kati ya miamba miwili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo sio wa kupata suluhisho leo wala kesho. Na hiyo inachangiwa na kila mmoja kuvutia Mashabiki wake kwa namna yake, lakini Straika asieishiwa vituko Muitaliano Mario Balloteli yeye anaonekana kumkubali Muargentina Lionel Messi. Akizungumza Balloteli anasema; "Mradi Messi anacheza, nitaendelea kusema kuwa yeye ndiye mchezaji hodari...

Infinx WASHUSHA MZIGO MPYA…HABARI YA MJINI NI HOT 30….VODACOM KUTOA GB ZA BUREEE….

0
Infinix

DAR ES SALAAM, Aprili 28, 2023 – Infinix kwa ushirikiano na kampuni inayoongoza ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC leo imetangaza uzinduzi wa muendelezo wa toleo la Infinix HOT series- Infinix HOT 30 pamoja na campaign ya chemsha bongo ya Tech/Tech quiz  inayohusisha wanafunzi wa vyuo vikuu. Utumiaji wa simu mahiri ni moja ya chachu ya Vodacom kufikia maono...

WAKALA WA BALEKE AFICHUA KILA KITU…”SIDHANI KAMA ATABAKI SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI

0
Habari za Simba SC

Wakala wa Jean Baleke athibitisha kuwa; hafikirii mchezaji huyo atabaki Simba SC zaidi ya mkataba wake wa mkopo. Alisema: "Sidhani kama atabaki Simba. Aidha TP Mazembe itajaribu kumrudisha au kumuuza. Huu ndio ukweli Aliongeza kuwa vilabu kutoka Asia na Ulaya vimeanza kufanya mawasiliano.

MCHONGO MZIMA WA KESHO UMEKETI KWENYE ODDS ZA KIJANJA ZA MERIDIANBET….ZINGATIA HILI..

0
Meridianbet

Ligi nyingi zinaelekea ukingoni huku timu zote zikipambana kutopoteza michezo yao iliyosalia, Meridianbet inakufanya ufurahie wikiendi yako kwa odds kubwa pamoja na kasino ya mtandaoni yenye sloti rahisi za ushindi.  Mechi za Jumamosi Meridianbet odds kubwa kila mechi, Laliga kitachafuka miamba ya soka la Hispania FC Barcelona na Real Madrid watashuka dimbani kwa pamoja kusaka pointi 3 muhimu, ni Barcelona vs...

WATANZANIA WAFELI MTIHANI WA UWAKALA FIFA…AFAULU MMOJA TU…

0
WATANZANIA WAFELI MTIHANI WA UWAKALA FIFA...AFAULU MMOJA TU...

Nassor Mjandari ndiye Mtanzania pekee aliyefaulu mtihani wa uwakala wa FIFA uliofanyika mwezi huu, wale ambao hawakufaulu wanayo nafasi ya kurudia mtihani wa pili utakaofanyia Septemba 20, 2023. Taarifa hiyo imetolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

BARCELONA HALI TETE KIUCHUMI…WACHEZAJI WAGOMA…WANATAKA MISHAHARA YAO

0
BARCELONA HALI TETE KIUCHUMI...WACHEZAJI WAGOMA...WANATAKA MISHAHARA YAO

Uongozi wa FC Barcelona umekumbana na kikwazo kutoka kwa mastaa wao baada ya kugoma kukatwa mishahara ili kupunguza bili ya mishahara ipatikane pesa ya kumrudisha supastaa Lionel Messi huko Nou Camp. Miamba hiyo ya La Liga ina matumaini makubwa ya kumrudisha Messi Nou Camp mara tu mkataba wake utakapofika tamati mwisho wa msimu huko Paris Saint-Germain. Lakini, kwa Barca kumudu gharama...

WYDAD WAJIPANGA KUISHAMBULIA SIMBA KWA KASI…KOCHA ACHEZE NA PLAN B

0
HATIMAYE SIMBA...YAPATA MRITHI HUYU WA TSHABALALA...ATOBOA SIRI NZITO

Dakika 90 zitaamua safari ya Simba Ligi ya Mabingwa msimu huu, aidha inasonga ama inarudi nyumbani kujipanga kwa msimu ujao. Wengi tunatarajia kumuona Simba akifuzu lakini kutakuwa na mtihani kwa timu ya Wydad kwa sababu wao wanaenda kushambulia kwa kasi na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga pia watawalazimisha timu nzima ya Simba wachezaji kama wao. Katika dakika za mwanzoni kabisa Simba...

ISHU YA KAKOLANYA NA SIMBA SC MAMBO YAZIDI KUWA BARIDI…

0
KAKOLANYA AFURAHIA KUITWA STARS...KUJIWEKA SAWA MUDA WOTE NI MUHIMU...HATA NIKIKAA BENCHI FRESH TU

Leo Ijumaa, Simba SC itakuwa Uwanja wa Mohammed V, nchini Morocco kuanzia saa 4:00 usiku ikicheza mechi ya mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad AC huku kukiwa na sapraizi kwenye ukuta. Kipa mzoefu ambaye hajadaka sikunyingi, Beno Kakolanya ataanza akichukua nafasi ya Ally Salim ambaye ameonyesha umahiri mkubwa kwenye siku za karibuni. Awali,...

ILI KUWAMALIZA KABISA WANIGERIA…MAYELE AWEKEWA MIL 300 CASH MEZANI….

0
Habari za Yanga SC

Kwa mujibu wa habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga SC zinaeleza kuwa mabosi wa timu hiyo wameweka ahadi ya Sh 300 Mil kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo watafanikiwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa marudiano vs Rivers United kwa Mkapa. Yanga SC katika mchezo huo kama watapata ushindi watajihakikishia nafasi ya kutinga Nusu Fainali ya Kombe la...

KUELEKEA MECHI NA SIMBA SC LEO…WAARABU WAPANIA AISEE…MASTAA WAO WOTE WARUDI…

0
Habari za Simba SC

Kurejea kwa Wachezaji watatu tegemeo katikakikosi cha Mabingwa wa Soka Barani Afrika Wydad Casablanca, huenda kukaipa wakati mgumu Simba SC katika mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Timu hizo zinatarajiwa kurudiana leo Ijumaa (Aprili 29) katika mchezo wa Mkonda wa Pili utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mohammed V ambao upo mjini Casablanca nchini...