MO AINGILIA KATI SHOO YA WAARABU…NABI AWAANDALIA SAPRAIZ HII RIVERS,….
Good Morning Mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam April 28, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
HII HAPA CASINO YA KIJANJA KUTOKA MERIDIANBET…CHEZA ‘LIVE’ UVUTE MKWANJA TANI YAKO…
Kasino ya Mtandaoni Meridianbet kwa kushirikiana Expanse Studios wamekuja na sloti ya kijanja ya Blackjack Live/ mchezo wa karata ni sloti yenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti ya Blackjack Live...
KUELEKEA MECHI NA WANIGERIA….EDO KUMWEMBE AIPASUKIA UKWELI YANGA…ATAJA YA TAIFA STARS…
Wakati Yanga SC wakijipongeza kwa ushindi wa ugenini mchezo wa mkondo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria. Kuna baadhi ya Mashabiki wanaamini kuwa tayari Yanga SC kashamaliza mchezo kwani mchezo wa marudiano utakaopigwa Jumapili vile vile wataahinda . Sasa mkongwe na mchambuzi wa Soka kutoka Wasafi Fm, Edo kumwembe amewatahadharisha Yanga...
KISA YANGA SC KUNUSA NUSU FAINAL CAF…ALLY KAMWE AMPIGA KIJEMBE HIKI MO DEWJI…
Wakati Yanga SC wakiwa tayari wameshatanguliza mguu mmoja Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Rivers United ya Nigeria. Tayari Afisa Habari wa Yanga ameshaanza mbwembwe na kutupa vijembe kwa watani zao Simba SC. Akizungumza kupitia kipindi cha Sports Arena ally Kamwe anasema; “Ghalib ni Bilionea ambaye amewekeza kwa muda mfupi na timu inakaribia...
KISA MAFANIKIO YA SIMBA SC CAF….JEMEDARI SAID AMLIPUA TENA MANARA…
"Nimeona clip ya KALIKONJI anazungumzia kuhusu CAF CUP ambayo SIMBA SC ikicheza fainali na Stella Abidjan na wakapoteza mabao 2-0 Dar es Salaam baada ya sare ya 0-0 ugenini." "Anasema kombe hilo lilikuwa la Moshood Abiola wala halikuwa la CAF na kwamba nchi za kiarabu waligomea." "Unajiuliza huyu alikuwaje kiongozi wa klabu kama Simba ambayo ina historia nzuri kwenye mpira wa...
KUELEKEA MECHI NA WAMOROCCO….MIPANGO KAMILI YA SIMBA SC IKO NAMNA HII…
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa matokeo ya mwisho ndiyo yataamua hatma yao ya kutinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, licha ya kuongoza kwa bao 1-0. Simba SC ilipata ushindi huo katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali dhidi ya Mabingwa watetezi Wydad Casablanca Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi (April 22), na keshokutwa Ijumaa (April 28)...
KUHUSU ISHU YA MORRISON KUTAKA KUIHUJUMU TIMU NIGERIA….YANGA SC WATOA TAMKO…
Uongozi wa Yanga SC umefunguka na kusawazisha taarifa zinazomuhusu Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison ambaye anadaiwa kutaka kuihujumu timu hiyo ilipokuwa nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa Robo Fainali, Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Morrison licha ya kusafiri na timu kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo kati ya Yanga SC dhidi ya Rivers hakuwepo katika sehemu ya...
AISEEE!! HII SASA KUFURU…JINA LA PELE LAWEKWA KWENYE KAMUSI
Pelé, ambalo ni jina la utani la gwiji wa soka marehemu Edson Arantes do Nascimento, limeingizwa rasmi kwenye kamusi likimaanisha kitu ama jambo la "kipekee, kisicholinganishwa". Kamusi ya Michaelis ya lugha ya Kireno, ni moja ya kamusi maarufu zaidi nchini Brazili, iliongeza "pele" kama kivumishi kipya. Kuingizwa kwa jina lake kwenye kamusi kulikuja baada ya kampeni ya Pelé Foundation ya kumuenzi...
HALI YA HATARI YATANGAZWA YANGA SC…WACHORWA NJE NDANI…ISHU NZIMA IKO HIVI
Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amesema atahakikisha kikosi chake hafanyi makosa hata kidogo, katika michezo miwili mfululizo itakayowakutanisha na Young Africans kwenye Uwanja wa CCM Liti mkoani Singida. Singida Big Stars itaanza kucheza na Young Africans Mei 4, mchezo wa Ligi Kuu, kabla ya kucheza tena na mabingwa hao Mei 7, katika mchezo wa Nusu Fainali Kombe...
TATIZO WABONGO TUNADHARAU SOKA LETU…SIMBA NA YANGA NI TISHIO KUBWA CAF
Bado mpira wetu una mapungufu mengi, wala tusiache kurekebisha. Bado mpira wetu una watu wengi tu wapigaji, wala tusikae kimya. Lakini kuna mahali tumepiga hatua. Kuna mahali tumesogea. Tusijibeze sana. Katika kipindi cha miaka mitano ya hivi karibuni, Taifa Stars imefuzu na kushiriki michuano ya AFCON na CHAN. Sio jambo dogo hata kidogo. Katika kipindi hicho pia, timu ya Wanawake...