BACCA AFICHUA YANAYOENDELEA YANGA…”SIWEZI KUTAJA SIFA ZA MCHEZAJI…AFUNGUKA HAYA

0
Habari za Yanga SC

Beki wa Kati wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Ibrahim Abdullah 'Bacca' amesema ubora wa safu ya ulinzi wa kikosi chao ndio siri ya mafanikio huku akimtaja Yanick Bangala kuwa kiongozi, lakini akicheza namba sita. Young Africans inayoundwa na ukuta wa Joyce Lomalisa, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Bacca, Djuma Shaban, Kibwana Shomari na Yanick Bangala imeruhusu mabao 13...

HATIMAYE SIMBA…YAPATA MRITHI HUYU WA TSHABALALA…ATOBOA SIRI NZITO

0
HATIMAYE SIMBA...YAPATA MRITHI HUYU WA TSHABALALA...ATOBOA SIRI NZITO

Beki wa kushoto wa Ihefu FC Yahya Mbegu amevunja ukimya na kuweka wazi kuwaniwa na timu za Simba SC na Singida Big Stars, kuelekea mwishoni mwa msimu huu 2022/23. Mbegu alitajwa kumalizana na Simba SC baada ya mchezo wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara 'ASFC' uliozikutanisha timu hizo jijini Dar es salaam mapema mwezi huu, lakini baadae alikanusha...

MSHAMBULIAJI BONGO…APEWA SHAVU UBELGIJI…KUKIPIGA NA SAMATTA

0
MSHAMBULIAJI HUYU WA BONGO...APEWA SHAVU UBELGIJI...KUKIPIGA NA SAMATTA

Imeelezwa kuwa mshambuliaji wa Kagera Sugar, Anuary Jabir 'Falcao' ameongezewa muda zaidi wa majaribio kwenye klabu ya KAA Gent inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji. Awali mshambuliaji huyo aliyetua Ubelgiji tangu Aprili 04, mwaka huu alipewa programu ya majaribio na timu hiyo kwa majuma mawili lakini sasa ameongezewa muda kwa ajili ya kuangaliwa zaidi. Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa...

TANZIA:KOCHA APATA AJALI YA GARI…AFARIKI DUNIA…KUZIKWA LEO

0
TANZIA:KOCHA APATA AJALI YA GARI...AFARIKI DUNIA...KUZIKWA LEO

Mwili wa Francis John, aliyekuwa kocha wa mwanariadha, Alphonce Simbu, utazikwa leo Aprili 26 nyumbani kwake jijini Arusha. Francis alifariki jioni ya Jumamosi iliyopita kwa ajali ya gari. Simbu ameiambia SOKA LA BONGO kuwa maziko ya kocha huyo yatafanyika kwenye eneo la nyumba yake huko Arusha, mchana huu. Hadi mauti inamkuta, Francis alikuwa kocha binafsi wa mwanariadha huyo ambaye pia ni...

TUCHEL AWAPIGIA SALUTI BALEKE,MAYELE…”WATAFANYA MAKUBWA CAF…AMEZUNGUMZA HAYA

0
TUCHEL AWAPIGIA SALUTI BALEKE,MAYELE..."WATAFANYA MAKUBWA CAF...AMEZUNGUMZA HAYA

Nyota Simba SC Jean Baleke na Fiston Mayele anayekipiga Young Africans, wamepewa nafasi kubwa ya kuzibeba timu zao kufanya vizuri katika michezo wa Mkondo wa Pili ya Robo Fainali ya michuano ya Kimataifa inayoratibiwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika 'CAF'. Simba SC inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, itashuka dimbani Keshokutwa kuivaa Wydad AC nchini Morocco wakati Young Africans...

YAHYA MBEGU AANIKA ISHU YA DILI LAKE NA SIMBA SC…SINGIDA BIG STARS WAINGIZA MKONO…

0
Habari za Usajili Simba SC

Beki wa kushoto wa Ihefu FC Yahya Mbegu amevunja ukimya na kuweka wazi kuwaniwa na timu za Simba SC na Singida Big Stars, kuelekea mwishoni mwa msimu huu 2022/23. Mbegu alitajwa kumalizana na Simba SC baada ya mchezo wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ uliozikutanisha timu hizo jijini Dar es salaam mapema mwezi huu, lakini baadae alikanusha...

KWA MARA YA KWANZA…SIMBA WAFUNGUKA MIPANGO YAO HII YA SIRI MECHI NA WYDAD AC

0
KWA MARA YA KWANZA...SIMBA WAFUNGUKA MIPANGO YAO HII YA SIRI MECHI NA WYDAD AC

Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa matokeo ya mwisho ndiyo yataamua hatma yao ya kutinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, licha ya kuongoza kwa bao 1-0. Simba SC ilipata ushindi huo katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali dhidi ya Mabingwa watetezi Wydad Casablanca Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi (April 22), na keshokutwa Ijumaa (April 28)...

MZAMIRU ASHUSHA PRESHA SIMBA SC…

0
Habari za Simba sc

KIUNGO wa Simba SC, Mzamiru Yassin amesema bao 1-0 walilolipata dhidi ya Wydad Casablanca limewaaminisha kuwa inawezekana na watafikia lengo lao la kutinga hatua ya nusu fainali CAF wanayoisaka zaidi ya miaka minne. Simba SC wanatarajia kurudiana na Wydad Casablanca Ijumaa hii wakiwa na mtaji wa ushindi kwenye uwanja wao wa nyumbani. Mzamiru alisema kitendo cha kumfunga bingwa mtetezi wa ligi...

EE BWANA!! MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA YA KIBABE…AMEZUNGUMZA HAYA

0
EE BWANA!! MAYELE AWEKA REKODI HII YA KIBABE...AMEZUNGUMZA HAYA

Nimeweka rekodi! hii ni kauli ya kinara wa upachikaji wa mabao Kombe la Shirikisho Afrika (5) na Ligi Kuu Bara (16), Fiston Mayele ambaye amefanikiwa kufunga mabao 50 ndani ya msimu mmoja na nusu tangu amejiunga na Yanga, huku akisema bado anataka kufanya makubwa zaidi. Mayele juzi alifanikiwa kuonyesha kiwango cha juu na kufunga mabao mawili dhidi ya Rivers United...

RASMI LIONEL MESSI AREJEA BARCELONA…ISHU NZIMA A-Z HII HAPA

0
RASMI LIONEL MESSI AREJEA BARCELONA...ISHU NZIMA A-Z HII HAPA

Tetesi za Mshambuliaji wa PSG, Lionel Messi kurejea tena kwenye Klabu yake ya zamani ya Barcelona zimezidi kushika kasi baada ya nyota huyo kusafiri na familia yake hadi jijini Barcelona. Safari ya Messi haikutarajiwa na wengi akiwa na mkewe, Antonela Roccuzzo na watoto wake walipowasili Barcelona tangu Jumamosi na kuzua minong'ono juu ya staa huyo kurejea tena Catalonia. Vyanzo vya kuaminika...