WAKATI IBENGE N AL HILAL YAKE WAKIMTANGAZIA DAU BALEKE….SIMBA SC WAJIBU MAPIGO KWA NJIA HII…

0
Habari za Simba SC

Afisa Mtandaji Mkuu wa Simba SC Imani Kajura ameweka sawa suala la Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke, ambaye amekuwa gumzo katika kipindi hiki, kufuatia kuibeba timu hiyo katika Michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Kufanya vizuri kwa Baleke, kumeibua sintofahamu ya mustakabali wake ndani ya Simba SC, ambapo baadhi ya wadau wamekuwa...

MOSSISON AUZA MECHI NIGERIA…BALEKE,CHAMA WAFA NA WAARABU

0
MOSSISON AUZA MEVHI NIGERIA...BALEKE,CHAMA WAFA NA WAARABU Magazeti ya leo Tanzania

Good Morning Mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam April 25, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzani

HII HAPA IMEVUJA…KOCHA SIMBA ATAJA JINA LA WINGA HUYU…KUSAJILIWA MAPEMA TU

0
Habari za Simba SC

JINA la kwanza lililopendekezwa na kocha wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' kusajiliwa pindi tu dirisha litakapofunguliwa ni winga wao wa zamani Hassan Dilunga ambaye ameshaanza kula matunda ya timu hiyo. Mwaka mzima Dilunga alikuwa nje baada ya kuumia mazoezini, sasa ni miezi kadhaa imepita mchezaji huyo anafanya mazoezi na timu hiyo, jambo lililomshawishi kocha kukubali kiwango chake. Mmoja wa kiongozi wa...

HANS PLUIJIM AKIRI KUNYIMWA USINGIZI NA YANGA…CHAKULA HAKIPANDI!

0
KOCHA SINGIDA BS AITELEKEZA TIMU...KUTIMKIA MAREKANI...ISHU NZIMA IKO HII A-Z

Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amekiri kuwa ubora wa kikosi cha Yanga unamnyima usingizi kuelekea mechi mbili ambazo wanatarajia kucheza hivi karibuni. Akizungumza na SOKA LA BONGO, kocha huyo amesema kuwa kiwango na matokeo inayoyapata timu hiyo kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, inaonesha namna ilivyo bora hivi sasa. "Hakuna kocha ambaye anapenda kukutana na Yanga katika...

BARCELONA KUMREJESHA MESSI…WAANDAA DONGE HILI NONO…HACHOMOI!!!

0
BARCELONA KUMREJESHA MESSI...WAANDAA DONGE HILI NONO...HACHOMOI!!!

Mshambuliaji wa PSG Lionel Messi anataka kurejea Barcelona lakini klabu hiyo ya Uhispania inahitaji kuongeza pauni milioni 88 kupitia mauzo ya wachezaji na kuamsha 'kichocheo kingine cha kiuchumi' ili kumsajili tena nahodha huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 35 (Mail) Manchester United wanaimarisha juhudi zao za kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Hotspur Harry Kane msimu huu wa joto, huku nahodha...

KWA MARA YA KWANZA…NAHODHA YANGA AFUNGUKA SIRI HII YA KUWACHAPA RIVERS

0
KWA MARA YA KWANZA...NAHODHA YANGA AFUNGUKA SIRI HII YA KUWACHAPA RIVERS

Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amesema timu yao ilibadili mfumo ndiyo maana wakafanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United ya Nigeria. Akizungumza mwamnyeto amesema; "Tuliwaweza wapinzani wetu kwa kubadili mfumo ambao tulianza nao hivyo tulipata matokeo kwa sababu tulibadilika hadi namna ya ushambuliaji. "Nimefurahi kucheza kwa mara ya kwanza robo fainali na kutoa pasi mbili na kufanya timu...

MCHEZAJI STARS AKUMBWA NA MAJANGA HAYA UBELGIJI…ISHU NZIMA HII HAPA

0
STAA STARS AKUMBWA NA MAJANGA HAYA UBELGIJI...ISHU NZIMA HII HAPA

Kiraka wa timu ya Taifa Tanzania Novartus Dismas amepata majanga kwa klabu yake ya Zulte Waregem kuteremka Daraja la Ligi Kuu ya Ubelgiji baada ya msimu wa ligi hiyo kumalizika jana na Zulte kukubali kichapo cha mabao 3-2. Ligi hiyo imemalizika kwa timu za Oostende iliyomaliza msimu na alama 27, Zulte alama 27 na RFC seraing nayo ikimaliza msimu na...

KUHUSU FUJO ZA MASHABIKI NA KUWASHA MOSHI UWANJANI….SIMBA SC WAISHITAKI WYDAD CAF…

0
Habari za Simba SC

SIMBA inataka kurudia maajabu yake ya kumtupa nje bingwa mtetezi wa Ligi ya Mabingwa CAF ambao ni Wydad Athletic Club, lakini kabla ya mechi ya pili tayari imeandaa malalamiko juu ya mashabiki wa timu hiyo. Simba juzi ilipata ushindi wa bao 1-0 na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kwa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa...

WAKATI SIMBA NA YANGA ZIKIWA KILELENI CAF….AZAM FC WAMEJIPIGAPIGA KIFUA KISHA WAKASEMA HAYA…

0
Azam FC

NYOTA wa Azam FC, Ayub Lyanga amesema mabao mawili aliyofunga kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting yameongeza chachu ya ushindani kwenye kikosi chao ambacho amekiri kuwa kinahitaji nafasi ya tatu kwenye msimamo. Ushindi walioupata Azam FC umewafanya wapande nafasi moja kutoka nne hadi tatu baada ya kukusanya pointi 53, wakiwashusha Singida Big Stars ambao wapo nyuma kwa mchezo...

BAADA YA KUONYESHA KIWANGO CHA ‘DUNIA’…KOCHA MSAUZI AIBUKA NA HILI KWA SALIM ALLY…

0
KIPA CHIPUKIZI SIMBA AMWAGA SIRI NZITO...AMTAJA AISHI MANULA...ISHU IKO HIVI A-Z

Aliyekuwa Kocha wa Walinda Lango wa Simba SC Tyron Damons amekiri kumtumia ujumbe wa Pongezi Mlinda Lango chaguo latatu Ally Salim, kufuatia kuonesha kiwango kizuri katika michezo aliyobahatika kucheza msimu huu. Mlinda Lango huyo amekuwa na bahati ya kucheza michezo mitatu mfululizo pasina kuruhusu bao, akicheza michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya (Ihefu FC, Young Africans) na...