WAZIRI AWATANGAZIA DAU HILI SIMBA KWA KILA GOLI…WAPEWA UBALOZI HUU
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mh. Simai Mohammed Said amekipongeza kikosi cha klabu ya Simba kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco huku akiahidi kutoa milioni 3 kwa kila goli la ushindi kwenye mchezo wa marudiano nchini Morocco. Mh. Simai amesema hayo akiwa ameshiriki katika mechi hiyo ya robo fainali ya Ligi ya...
HUYU HAPA KIUNGO PUNDA SIMBA…ACHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA
Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe. Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji bora akiwashinda Onyango na Okrah Magic Kwa maoni yangu na mtazamo wangu huyu ndio kiungo mkabaji bora kwa sasa kwa upande wa wazawa.
YANGA VS RIVERS UNITED KUKIWASHA LEO…HUJUMA ZAWASHTUA WANANCHI
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans Baada ya kupokea kichapo kikali toka kwa mahasimu wao simba Sports Club Leo mida ya saa 10:00 JIONI wananchi wenye nchi yao YOUNG AFRICANS watashuka pale dimba la ESTADIO DE GODSWILL AKPABIO nchini NIGERIA Kutafuta alama tatu...
MESSI “BYE BYE” ANAONDOKA PSG BURE…BARCELONA WAPIGA RADA ZAO HIZI
Manchester United wameonyesha nia ya kumsaka Victor Osimhen baada ya kutuma ujumbe wa kumfuatilia mshambuliaji huyo Mnigeria mwenye umri wa miaka 24 aliyechezea klabu ya Napoli katika mechi ya Championi Ligi wiki iliyopita. (Star) Meneja wa Celtic Ange Postecoglou ni meneja wa hivi karibuni kufikiriwa miongoni mwa watu watakaochukua kazi ya umeneja wa Chelsea , ingawa meneja wa zamani wa...
KUMBE ACHRAF ALIFUNDISHWA UJANJA NA ASAMOAH GYAN…ISHU NZIMA IKO HIVI
Wachezaji wengi wa mpira wa miguu ambao ni maarufu huwa katika hatari ya kukumbwa na matatizo mengi katika maisha. Baadhi ya changamoto zao ni ndoa zao kuvunjika na matokeo yanawaathiri hadi wanafilisika. Baadhi ya wachezaji kutoka Afrika waliojipata katika changamoto hiyo: Taribo West Staa huyu raia wa Nigeria alifilisika baada ya talaka na kwa sasa ameamua kuwa mchungaji kabisa. Taribo ambaye alioana na...
BALEKE AIDUWAZA WYDAD AC…LICHA YA HUJUMA YANGA YAJIAPIZA NIGERIA
Good Morning Mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam April 23, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
HIZI HAPA SIKU 109 ZA MBRAZILI NDANI YA SIMBA SC….WALIOSEMA HAWEZI WAKIMBIA KIMYA KIMYA…
Leo Aprili 22 Kocha Mkuu wa Simba SC Robert Olivieira 'Robertinho amefikisha siku 109 akiwa ndani ya klabu hiyo tangu apewe ajira na kutangazwa Januari 3,2023. Wakati anafika na hata alipoanza kazi hakuonekana kama kukubalika zaidi ndani ya klabu hiyo, lakini ndani ya mwendo wa kazi zake tayari ameshaanza kujiwekea mizizi akifanikiwa kuibadilisha timu yake na kuanza kupita njia za...
KUELEKEA MECHI YA KESHO NA WANIGERIA….NABI AANIKA MAMBO ALIYOYAONA KWA YANGA SC..
Kuelekea mchezo wa kesho wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, Kocha mkuu wa Yanga SC, Nasredinne Nabi na nyota Benard Morisson wamezungumza na waandishi wa habari hapa Nigeria. Yanga SC itashuka dimbani kesho saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania kucheza na wenyeji wao Rivers United. “Hongera kwa uwanja mzuri. Niwapongeze pia uongozi wa Yanga kwa kuhakikisha tumekuja...
A-Z JINSI SIMBA SC WALIVYOIBAMBA WYDAD KWA MKAPA….ISHU NZIMA ILIANZAI HAPA…
DAKIKA 90 za mchezo wa mkondo wakwanza kati ya Sinba SC na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Wydad Casablanca umemalizika kwa Simba kupata ushindi wa bao 1-0. Simba SC ambayo itatakiwa kusafiri kwa ajili ya mchezo wa marudiano kule Morocco Aprili 29 itakuwa na kazi ya ziada ya kulinda bao hilo ili kusonga kwenye hatua ya nusu fainali. Simba SC...
FT:- SIMBA 1-0 WYDAD….BALEKE AZIDI KUSHANGAZA SOKA LA TZ…WAARABU WAFURA KWA HASIRA…
WAWAKILISHI Pekee Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati katika hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika Simba SC wameng’ara nyumbani baada ya kuichapa bao 1-0 Wydad Casablanca Athletic mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Shujaa wa Simba SC ni Mshambuliaji hatari katika Michuano hiyo Jean Baleke alifunga dakika ya 30 na...