MEMBA WA P-SQUARE AMCHARUKIA HAKIMI…”KAMA HAMWAMINI MKEWE ..AMUOE MAMA YAKE”…
Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Peter Okoye, ( P- Square) almaarufu Mr. P, amemjia juu beki wa PSG, Achraf Hakimi kuhusu sakata lake na mkewe, Hiba Abouk na Mali za mwanasoka huyo kuandika jina la mama yake. Ripoti zilizuka Juzi Ijumaa kwamba mchezaji huyo kuachana na mke wake, ambaye katika mchakato wa talaka, alidai zaidi ya nusu ya mali ya nyota...
NJIA YA MIQUISSONE KURUDI SIMBA YAZIDI KUWA NYEUPE….KAIZER CHIEF WAAMUA KUMSUSA GHAFLA…
Vilabu vilivyokuwa vikimnyemelea aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba SC, Louis Miquissone zimeamua kuachana naye baada ya kiwango chake kuporomoka hali ilisababisha hata waajiri wake, Al Ahly kumtema. Tangu arejee kwao Msumbiji baada ya kuachana na klabu aliyokuwa akiitumikia kwa mkopo akitokea kwa mabingwa wa kihistoria Afrika, Al Ahly, Louis ameshuka sana kiwango chake na hii ilipelekea hata kocha wake wa...
WAKATI WAKIWA NA MALUWELUWE YA KIPIGO CHA SIMBA….CAF WAIPA FAIDA HII YANGA…
Wakati wakiwa na kidonda cha kufungwa na Simba leo. CAF wamepangua figisu ya wanaigeria baada ya ombi la Klabu Bingwa nchini Nigeria Rivers United la kutaka kuutumia Uwanja wa Adokiye Amiesimaka katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali dhidi ya Yanga, limekataliwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’. Rivers United itakuwa mwenyeji wa mchezo huo April 23,...
BAADA YA KUIMUMUNYA YANGA KAMA PIPI LEO….AHMED ALLY ATAJA UELEKEO MPYA WA SIMBA…
Baada ya kumalizana na Yanga leo, Uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa licha ya kupangwa na wapinzani wakubwa katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad Casablanca hawajamaliza mwendo wa mapambano watapambana kutimiza malengo yao. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba amebainisha kuwa kwenye mashindano makubwa ni lazima wakutane na wakubwa hilo...
BAADA YA KUPOKEA KICHAPO LEO….NABI AVUNJA UKIMYA YANGA…AFUNGUKA WALIMUANGUSHA…
Mchezo wa 'Kariakoo Derby' kati ya Simba na Yanga umemalizika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wenyeji kushinda mabao 2-0 na kufuta uteja wa siku 1520. Mabao ya Simba yamefungwa na beki, Henock Inonga dakika ya pili ya mchezo huku Kibu Denis akifunga la pili kwa shuti kali lililomshinda kipa Diarra dakika ya 32. Zifuatazo ni dondoo muhimu za mchezo huo, Huu...
TANZIA: KIPA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA…KUMBE ALIKUWA AFISA MKUBWA TRA
Aliyekuwa kipa wa Cosmopolitan, mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania mwaka 1967, Mohamed Mfaume 'Difu' (katikati) amefariki dunia Ijumaa ya Aprili 14 Jijini Dar es Salaam. Kipa wa timu ya taifa ya Tanzania pia kuanzia miaka ya 1960 hadi 1970 mwanzoni anatarajiwa kuzikwa makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam. Mfaume Difu alikuwa kipa wa Cosmopolitan wakati inachukua ubingwa wa Ligi...
CAF YATUMBUA MAJIPU…WAAMUZI HAWA WANNE WASIMAMISHWA KAZI
Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), imewasimamisha Waamuzi wanne wa Botswana waliochezesha mchezo wa mwisho wa kufuzu AFCON 2023 kati ya Benin dhidi ya Rwanda uliochezwa mnamo Machi 22 2023 kwa usimamizi mbovu wa mechi. Waamuzi hao ni JOSHUA BONDO, MOGOMOTSI MORAKILE, KITSO SIBANDA TSHEPO MOKANI GOBAGOBA Walishindwa kufuatilia ripoti zisizo sahihi kuhusu mfumo wa Usimamizi wa Mashindano...
KUMBUKIZI HIZI ZA DABI YA WATANI WA JADI…ZAIBEBA SIMBA WAZI WAZI
Simba na Yanga zinakutana kwa mara ya 110 kwenye Ligi Kuu wikiendi hii tangu Jumatatu ya Juni 7, 1965. Yanga ilishinda bao 1-0 kwenye mechi ile ya kwanza lililofungwa na Mawazo Shomvi dakika ya 15. Rekodi zinaonyesha timu hizo zimekutana mara nyingi zaidi (59) siku ya Jumamosi katika dabi 109 walizocheza, Jumatatu zimekutana mara tatu na Jumanne mara mbili. Lakini, Jumatano timu...
KOCHA YANGA “SIMBA TUMEWAFUNGA TOKA MAZOEZINI…TUNATAKA POINTI 3 TU…AMEZUNGUMZA HAYA
Tunataka pointi tatu. Kocha msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amesema hakuna lugha tofauti na hiyo kambini kwao. Yanga itakuwa ugenini dhidi ya Simba leo jioni, kwenye mchezo wa ligi dhidi ya watani zao Jumapili huku wakishuka uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa kwanza. Akizungumza na SOKA LA BONGO alisema wataingia kwa kuwaheshimu wapinzani wao wakiwa...
KWA MKAPA KUMEDODA…MECHI SIMBA NA YANGA MASHABIKI HAKUNA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Zikiwa zimebaki saa Chache kuanza kwa mtanange wa Simba na Yanga hali inaonekana kupoa nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa tofauti na ilivyozoeleka kwenye derby zilizopita. Mchezo huo unaozikutanisha timu vigogo za Tanzania zenye mashabiki wengi unatarajiwa kupigwa kuanzia saa 11:00 jioni lakini hadi sasa shamrashamra nje ya uwanja zimeonekana kuwa chache. Pamoja na kupoa, lakini biashara nyingine ndogondogo zimeonekana kuendelea...