HUKO SIMBA MAMBO BADO AISEEE…..ATEBA AKIPIGWA BEI TU…CHUMA HIKI KINATUA CHAP…
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kikiwa kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano na kuna kazi ya maana inaendelea kufanywa na kocha Fadlu Davids akisuka kikosi kwa akili na hesabu zake na habari mpya ni mipango yake ya kuunda safu mpya ya ushambuliaji. Kocha Fadlu anayesimamia usajili wa kikosi hicho, amejulishwa kwamba kuna uwezekano wa kumuuza straika...
HII HAPA TAREHE YA SIMBA, YANGA KUKUTANA MSIMU HUU…
BODI ya Ligi Tanzania imetangaza mechi za timu nne za juu, Yanga, Simba, Azam na Singida Black Stars, ambazo zitapambana kuwania Ngao ya Jamii, kuanzia Septemba 11 hadi 14 mwaka huu. Mabingwa wa Tanzania Bara na washindi wa Ngao ya Jamii msimu uliopita, Yanga, itakwaana na Azam FC, huku Simba ikiikabili Singida Black Stars. Taarifa iliyotolewa na Idara ya Mawasiliano ya...
A-Z JINSI CHIKOLA ALIVYOTUA YANGA KWA ‘MZAHA’ WA ENG HERSI….
WINGA, Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga. Yanga juzi ilitangaza kukamilisha usajili wa Winga huyo wa zamani wa Tabora United. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Chikola, alisema hata alipopigiwa simu kwa mara ya kwanza na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, kwake ilikuwa kama...
NAFASI YA KUSHINDA UNAYO MERIDIANBET LEO…
Leo hii wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa suka jamvi lako la kibabe hapa ujiweke kwenye nafasi ya wale ambao wataondoka na mshindo wa maana. Jisajili na ubashiri hapa. Tukianza na mechi ya Fredrikstad FK dhidi ya FC Midtjylland ya kule Denmark pale Meridianbet imepewa ODDS 3.90 kwa 1.88. Mwenyeji yeye anakipiga kule Norway huku leo hii ndio anayepewa...
MERIDIANBET YAZINDUA SUPER HELI, PAA JUU, SHINDA SIMU MPYA KILA WIKI….
Ni msimu wa ushindi, Meridianbet imezindua rasmi promosheni mpya kutoka Super Heli, mchezo wa kasino ya mtandaoni unaokupeleka angani kwa msisimko wa kipekee na kwa promosheni hii mpya mchezo huu unakurejesha na zawadi kabambe kabisa, simu janja ya Samsung Galaxy A25. Ikiwa ni toleo lililoboreshwa kwa ubunifu na muonekano wa kisasa, Super Heli huleta mandhari yanayofanana na mchezo maarufu wa...
NAFASI YA KUWA BINGWA IPO MERIDIANBET LEO….
Kuwa bingwa ni rahisi sana ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Arsenal, Villa, Fenerbahce na wengine kibao wapo kibao kuhakikisha hubaki patupu. Unangoja nini sasa kubashiri na mabingwa? Anza kusuka jamvi lako hapa ambapo Feyenoord Rotterdan ataumana vikali dhidi ya Fenerbahce Instanbul ya kule Uturuki. Mwenyeji yeye anakipiga kule Uholanzi huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpendelea mwenyeji kuondoka na...
ZOMBIE APOCALYPSE, DILI LA KIHISTORIA KUTOKA MERIDIANBET NA EXPANSE STUDIOS….
Wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni wanapata sababu nyingine ya kuamka kwa shauku kila siku, kufuatia ujio wa ofa kabambe ya Zombie Apocalypse, promosheni ya kusisimua inayotolewa kwa ushirikiano wa Meridianbet na Expanse Studios. Huu ni mwamko mpya wa burudani ya michezo ya mtandaoni, ambapo wachezaji wanaalikwa kushiriki katika tukio la kipekee lenye zawadi ya kipekee. Kwa kutumia teknolojia ya...
NANI KUCHUKUA TUZO YA MCHEZAJI EPL 2025/26?…..
Meridianbet inakuambia hivi, sasa unaweza kuweka jamvi lako kwa mchezaji ambaye unaona anaweza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu sasa. ODDS zao zinaanzia 7.00 na kuendelea hivyo usipitwe na chaguo hili sasa. Suka mkeka wako wa ushindi hapa. Alexander Isak raia wa Sweeden anapewa nafasi ya 8 kuchukua tuzo hiyo. Toka ajiunge na Magpies kutoka Real Sociedad mchezaji huyo...
CHAN 2024: HIVI NDIVYO TANZANIA ILIVYOZIPIGA BAO KENYA, UGANDA….KAZI IKO HAPA….
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeandika ukurasa mpya kwa ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kuanza kwa kishindo michuano ya CHAN 2024, huku ikizidi kete majirani zake Kenya na Uganda waliokuwa kama wenyeji wenza wa mashindano hayo. Ilianza kwa kishindo Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Jumamosi ya Agosti 2, wakati Stars ilipowatendea haki Watanzania kwa...
PAMOJA NA KUSAJILIWA KWA DAU NONO….SIMBA WAMPA MASHARTI HAYA MAZITO BAJABER…
MOHAMED Bajaber ni mali ya Simba, ambapo winga huyo ametua kikosini hapo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Kenya Police FC ya nchini Kenya. Bajaber aliyezaliwa Machi 15, 2003 jijini Nairobi nchini Kenya, kwa sasa ana umri wa miaka 22 ambapo hadi anajiunga na Simba, klabu hiyo imetoa Dola za Kimarekani 180,000 (Sh458 milioni za Kitanzania). Chanzo kutoka Simba, kimesema kwamba,...