YANGA SC YAJIPANGA KIKAMILIFU, IMARA KWA DABI

0

OFISA Habari wa klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe, amethibitisha kuwa timu yao kwa sasa imefikia kiwango cha ushindani kinachohitajika na ipo tayari kukabiliana...

UBINGWA WA EUROPE LEAGUE UNAENDA WAPI?

0

Timu 4 kushuka uwanjani kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali kwenye mechi za mkondo wa kwanza. Je nani unaona ana nafasi kubwa...

YANGA WATESEKA WANAWAKE, SIMBA WAZIDI KUTIKISA LIGI

0

Wakati katika Ligi Kuu Tanzania Bara ya wanaume Yanga ikiendelea kuongoza msimamo, hali ni tofauti kabisa upande wa wanawake ambapo Simba Queens ndiyo wanaoshika...

PEDRO AFICHUA SIRI YA USHINDI YANGA, ABADILI MFUMO KIMYA KIMYA

0

KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Gonçalves, amefichua kuwa siri ya ushindi walioupata dhidi ya Pamba Jiji FC  ilitokana na mabadiliko ya kimfumo waliyolazimika kuyafanya...

NGOY ATAMBA JUU YA YANGA, SIMBA KWENYE MBIO ZA MABAO

0

MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Fabrice Ngoy, ameendelea kuwasha moto katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuongoza orodha ya wafungaji, akiwapiku nyota wa timu...

KUTOKA VIJIWENI HADI KUPATA USHINDI MKUBWA UKICHEZA PIA SLOTI

0

Kila eneo lina stori yake, lakini hii ya leo ni ile stori ambayo kila mtu anataka kuwa ndani yake. Meridianbet imeleta uzoefu tofauti, sio tu...

SIMBA YAZIDI KUIMARISHA ULINZI, KUEPUKA KUFUNGWA KIZEMBE

0

KUELEKEA mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tabora United, safu ya ulinzi ya Simba chini ya Kocha Mkuu, Steven Barker,...

USIKU WA MWISHO WA NDOTO, PSG NA LIVERPOOL KUGOMBANIA NUSU FAINALI

0

Usiku wa leo saa 4:00, uwanja wa Parc des Princes unawaka moto kwa sababu Paris Saint-Germain wanawakaribisha Liverpool kwenye hatua ya Robo Fainali ya...

KOCHA YANGA ATAJA SIRI ZA KUTWAA UBINGWA BARA

0

KOCHA wa Yanga ameweka wazi mikakati mitatu muhimu anayoamini itawasaidia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, huku akisisitiza nidhamu, umakini na...

NASHON KWENYE HATARI, YANGA YAJA NA PLAN B

0

KITENDO cha Simba kutoka sare na Pamba Jiji FC katika mchezo wa hivi karibuni kimeonekana kuwa funzo kwa wapinzani wao Yanga, hasa katika mbinu...