SIMBA WAMTIBUA KOCHA BARKER KATIKA MZIZIMA DERBY
WASHAMBULIAJI wa Simba wamtibua kocha Steve Barker kwa mtihani mkubwa, huku akihakikisha wachezaji wake wanatumia vyema nafasi wanazozipata katika michezo yao ya Ligi Kuu...
YANGA YAJIANDAA NA PAMBA JIJI FC, PEDRO AWEKA MIKAKATI YA USHINDI
KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Pedro Goncalves, ameamua kuanza kupanga mikakati maalumu ili kuhakikisha kikosi chake kinapata alama tatu katika mchezo ujao wa ugenini...
IBENGE AFUNGUKA, MBINU MPYA ZAIOKOA AZAM MBELE YA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amefunguka kufuatia sare ya bila kufungana dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
INGIA FORTUNE FARM UKAVUNE MAMILIONI YA MERIDIANBET
Kila kona ya mtaa watu wanazungumzia jambo moja tu, Fortune Farm ya Meridianbet. Huu ni mchezo wa akili na kujua unachofanya. Unaingia na mipango yako, unatoka...
KIGOGO MBEYA CITY ASHUSHA PRESHA, ASISITIZA JAMBO
ACHANA na matokeo ya ushindi wa 3-2 waliopupata Mbeya City dhidi ya KMC, uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya umesema timu hiyo itarejesha...
CONTE DHIDI YA ALLEGRI, MBINU KUAMUA PAMBANO
Mechi za Serie A mara nyingi huamuliwa na mbinu za makocha, na mchezo wa leo kati ya Napoli na AC Milan una makocha wawili...
DODOMA JII YAISHTUKIA SIMBA, YATAMBA KUPINDUA MEZA
BAADA ya kufanya kweli katika mchezo uliopita, Dodoma Jiji imesema kwa sasa inafikiria jinsi ya kuvuka mtego dhidi ya Simba ili kujitabiria makubwa na...
MAGWIJI LIGI KUU BARA WAMPIGIA SALUTI FEI TOTO
ALICHOKIFANYA kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' msimu wa 2023-2024 na 2024-2025 na muendelezo wake msimu huu, kimewaibua baadhi ya mastaa...
SARE YAUMIZA SIMBA, YANGA WANUSA HARUFU YA UBINGWA
SIMBA imeendelea kuipa ugumu kazi yake ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kushindwa kuvuna alama tatu dhidi ya Azam FC,...
UTAJIRI WAKO UMEANDIKWA NDANI YA BOOKS OF EGYPT YA MERIDIANBET
Mtaa unazungumza leo, na si stori za kawaida, ni habari ya moto kutoka Meridianbet. Wamekuja na mchezo wa Books of Egypt kutoka Expanse Studios, unaokurudisha...












