TP MAZEMBE WAMNYIMA RAHA NABI….AFUNGUKA A-Z JINSI WANAVYOMKONDESHA…
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi, amefichua kuwa, licha ya ushiriki wao katika Kombe la Mapinduzi, lakini mipango na mikakati yake mikubwa ipo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, michuano inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kwa kuwa wanataka kufanya makubwa. Nabi ametoa kauli hiyo kabla Yanga SC kucheza mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi Kundi B dhidi...
SIKU KADHAA BAADA YA KUTUA SINGIDA BIG STARS….AJIBU ATUPA ‘JIWE LA GIZANI’ AZAM FC…
Baada ya kuondoka Azam FC, Kiungo Mshambuliaji Ibrahim Ajib kwa mara ya kwanza amefungua kinywa chake na kueleza matarajio aliojiwekea, katika sehemu ya msimu wa 2023. Mwanzoni mwaka jana Azam FC ilithibitisha kuachana na Kiungo huyo wa zamani wa klabu za Simba SC na Young Africans zote za Dar es salaam, na kumtakia kila la kheri katika makazi yake mapya...
KIPA AFICHUA JINSI AZIZ KI ANAVYOBEBWA YANGA SC…AANIKA UZEMBE ULIPO…
KIPA wa zamani wa Simba na Yanga SC, Said Mohammed ‘Nduda’ amesema licha ya frikiki za Stephan Aziz KI kuwa za kiwango lakini ni uzembe wa kipa kufungwa. Aziz Ki, aliifungia Yanga SC bao pekee kwa mpira wa adhabu ambao kipa wa Mtibwa Sugar, Razack Shekimweri alishindwa kuudaka ukiwa ni muendelezo wa kufunga mabao ya aina hiyo. Pia, alisababisha bao la...
HUKO SIMBA SC JAMBO SI JAMBO…MGUNDA KAIBUKA NA RIPOTI HII KUHUSU NTIBAZONKIZA…
KIWANGO bora ilichokionyesha Simba SC wiki iliyopita kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara ikishinda 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons, kimemfanya kocha mkuu wa chama hilo, Juma Mgunda kuweka wazi kuwa amepata alichokuwa anakitafuta na sasa ni mwendo wa kutembeza dozi tu, huku akisema Saido Ntibazonkiza ana faida kubwa sana kwenye timu yake kwa sasa. Katika mchezo huo, Simba SC ilionekana...
KULINGANA NA UGUMU WA JANUARI…MERIDIANBET WANAKULETEA HILI…HAPA MKWANJA KAMA WOTE…
Mwezi Januari ni maarufu sana kuwa ni mwezi dume, una mambo mengi mara ulipe ada, unadaiwa kodi ya nyumba, biashara yako imeyumba, huna mtaji usiwaze mtu wangu wa nguvu, huu hapa mchongo wa kulainisha Januari yako kutoka Meridianbet ambao wana Sloti bomba kwa ajili yako. Meridianbet wanaelewa ugumu uliopo kwenye mwezi huu dume na ndio maana wamekuletea Promosheni kabambe ya...
DILI LA MUDATHIRI…HIVI NDIVO YANGA WALIVYOITESA SIMBA…FEI TOTO AKUBALI YAISHE…AILILIA TFF….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi ya 5/1/2022.
BAADA YA KUTAMBULISHWA…RONALDO AANZA KUWAPA MASHARTI WAARABU…
Rais wa Klabu ya Al Nassr, Musalli Al Muammar amesema kuwa staa wa timu hiyo Cristiano Ronaldo ameomba atendewe sawa na wachezaji wenzake ndani ya kikosi, asipendelewe. “Wakati wa makubaliano, Ronaldo aliomba atendewe sawa na wachezaji wengine kikosini, kwenye upande wa zawadi za motisha na kanuni za timu.”- Musalli Al Muammar Rais huyo wa Al Nassr ameongeza kuwa mshahara wake ni...
SAKATA LA FEI TOTO KUITEMA YANGA SC…ABDI KASSIM KAIBUKA NA HILI LA KWAKE…
SAKATA la kiungo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kutaka kuondoka Yanga SC limemuibua kiungo na nahodha wa zamani wa timu hiyo, Abdi Kassim ‘Babi’ ambaye ameishauri klabu hiyo kumuachia mchezaji huyo akatafute changamoto mpya hususani nje ya nchi. Babi ambaye enzi zake alijulikana kwa jina la Ballack wa Unguja ni mchezaji wa zamani wa timu za taifa za Tanzania na Zanzibar,...
WAKATI BONGO WAKIMPONDA….MAYELE ASEPA KWAO CONGO…ISHU IKO HIVI…
MSHAMBULIAJI kinara wa Yanga SC, Fiston Mayele ameifuata tuzo yake DR Congo ambayo inatarajiwa kutolewa Januari 7 mwaka huu. Mayele ameondoka jioni hii kuelekea nchini kwao ambapo safari yake ni maalum kwaajili ya kushughulikia hati yake ya usafiri lakini pia ameweka wazi kuwa atasubiri na tuzo yake. Mayele amesema amefurahia kupewa heshima na nchi yake kwa kumchagua kuwa mchezaji bora wa...
KIMYA KIMYA…TAMBWE ATUPIWA VIRAGO SINGIDA BIG STARS…ISHU IKO HIVI…
Ni dhahiri Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Ammis Josline Tambwe ataondoka Singida Big Stars katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo la usajili. Dalili za kuondoka kwa Mshambuliaji huyo aliyewahi kuwika akiwa na Klabu za Simba SC na Young Africans zimeonekana kufuatia namba ya jezi yake kukabidhiwa kwa Mshambuliaji Mpya wa Singida Big Stars, Francy Kasedu Kazadi. Kazadi ameonekana akiwa na Jezi yenye...