FT: KAGERA SUGAR 1-1 SIMBA SC….HAKUNA CHA CHAMA WALA SAKHO LEO…
KLABU ya Simba imelazimika kugawana pointi moja na timu ya Kagera Sugar baada ya kutoka sare ya 1-1 kwenye mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Kaitaba mkoani Kagera. Kagera Sugar ilianza kupata bao kupitia kwa nyota wao Deus Bukenya dakika ya 15 kabla ya Henock Inonga ajasawazisha dakika ya 38 yaa mchezo na kuwapeleka mapumziko ubao ukisoma 1-1. Simba Sc...
YACOUBA KUANZA KUUWASHA UPYA YANGA SC…NABI AMPA MAPINDUZI CUP….
Yanga imesaliwa na mechi tatu tu kabla ya kufunga mwaka 2023, kisha kusafiri kwenda Zanzibar kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, huku Kocha Nasreddine Nabi akiamua kumpa kazi mshambuliaji Yacouba Songne kabla ya kumrejesha rasmi kikosini. Yacouba aliyekuwa kinara wa mabao wa Yanga misimu miwili iliyopita, aliumia katikati ya msimu uliopita na kushindwa kuitumikia timu hiyo, ila alibakishwa nchini licha...
TETESI…ILE ISHU YA STRAIKA MGHANA KUTUA SIMBA ‘SHOW’ NZIMA IKO HIVI KUMBE…
Baada ya kuwepo maneno mengi mtaani hasa vijiwe vya kahawa na hata mtandaoni bilionea wa klabu ya Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji amejiweka pembeni, bilionea huyo ameamua kufanya kweli kwa kuwataka mabosi wa klabu hiyo kumleta haraka straika raia wa Ghana. Ipo hivi. Mo Dewji alimvutia waya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ na kumwambia yeye, viongozi wengine...
BAADA YA KUUONA MZIKI WA TP MAZEMBE…NABI KAGUNA WEE KISHA AKASEMA HAYA …
Licha ya kukiri kuwa wanapaswa kuanza maandalizi mapema ili kufanya vizuri kwenye kundi D la Mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha wa Yanga Nasreddine Nabi ameweka wazi mpango wake. Nabi amesema kuwa akili zao zote kwa sasa wamezielekeza katika kuhakikisha wanafanya vizuri mzunguko wa pili wa Ligi Kuu . Yanga jumatatu wiki iliyopita walishuhudia droo ya hatua ya makundi ya...
MASIKINI TAMBWE WEEH… YAMKUTA YA KUKUMKUTA NA SINGIDA BIG STARS…
Taarifa kutoka katika Klabu ya Singida Big Stars, zinasema Uongozi wa Klabu hiyo umeamua kuachana na mshambuliaji wake Amissi Tambwe. Tambwe alikuwa na Singida katika Ligi ya Championship na kufunga mabao yaliyosaidia kuipandisha Timu ya Singida Big Stars. Tangu kupanda kwa Singida Big Stars, Tambwe amekosa nafasi katika kikosi cha kwanza na sasa ameoneshwa mlango wa kutokea.
WAKATI SIMBA WAKIFANYA SIRI…GEITA GOLD WAMNG’ANG’ANIA SAIDO..
Kuelekea mchezo kati ya Wenyeji Geita Gold FC Azam FC Matajiri wa Chamazi, Kocha Msaidizi wa Geita Gold Mathias Wandiba amefunguka na kusema mchezaji Saido Ntibazonkiza bado mchezaji wao. Akizungumza na Waandishi wa habari Wandiba amekanusha taarifa za kuondoka kwa Nyota huyo wa Burundi na kusema bado ni mchezaji halali wa klabu hiyo huku akiwataka mashabiki kuhudhuria mchezo wao na...
RONALDO KUJIUNGA NA WARABU KWA DAU LA TRILIONI 1…
Taarifa kutoka nchini Hispania zinaripoti kuwa mchezaji bora wa dunia mara tano (5) Cristiano Ronaldo anatarajia kusaini mkataba wa miaka 2 na nusu na klabu ya Al Nassr ya Saudia Arabia mwishoni mwa mwaka huu, mkataba utakaomalizika Juni 2025. Thamani ya mkataba huo inatajwa kuwa ni Euro millioni 200 kwa msimu, hivyo mpaka utakapomalizika inatarajiwa kufikia Euro milioni 500 ambayo...
USAJILI MPYA YANGA SC UHAKIKA…KABWILI ATAJWA TENA…
Yanga SC wanatarajia kufanya usajili wa wachezaji wawili katika dirisha dogo la usajili ambalo limefunguliwa kuanzia Desemba 15, 2022 hadi Januari 15, 2023 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika maeneo muhimu baada ya ushauri wa Benchi la Ufundi la timu hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Rais wa Klabu hiyo, Mhandisi Hersi Said amesema watafanya usajili...
CHEZA KIBINGWA NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET….!
Sloti yaDeuces Wild Poker Usisubiri kuhadithiwa! Jiunge na Meridianbet sasa ili uweze kupata bonasi na promosheni kibao katika michezo mingi. Kila wiki, Meridianbetinakuletea bonasi na promosheni kabambe kabisa. Wiki hii, Meridianbet inakuletea mchezo bomba na wa kipekee uitwao Deuces Wild Poker uliotengenezwa na Habanero. Ukiingia katika Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, utakuta mchezo wa Deuces Wild Poker ambao ni mchezo wa...
MKEKA WA YANGA WATIKI…REKODI YA CHAMA YAMUIBUA MOGELA…ARSENAL WAMKATAA RONALDO….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatano.