KISA UJIO WAKE SIMBA….CHAMA KUMTUPA NTIBAZONKIZA KWA SAKHO…ISHU IKO HIVI…

0

Endapo Simba ikifanikisha kuinasa saini ya staa mwenye CV yake, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kuna mapro ambao kivyovyote watakula panga kulingana na kiwango wanachokionyesha ndani ya timu hiyo kwenye mzunguko wa kwanza wa ligi. Watanzania waliona kiwango cha Saido kwa mara ya kwanza akicheza Yanga na msimu wa mwisho akiondoka aliacha rekodi ya mabao saba na asisti tatu, kisha akaibukia Geita...

WAKATI JAMBO LAKE NA SIMBA LIKIWA JUU JUU..MGUNDA IBUKA NA HILI JIPYA….ATOA MSIMAMO WAKE…

0

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Ramadhan Mgunda ameweka wazi kuwa, mkakati wake kwa sasa ni kuhakikisha wanashinda kila mchezo kwa lengo la kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2022/23. Mgunda ametoa kauli hiyo wakati Young Africans ikiongoza Msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 35 sawa na Azam FC lakani wanatofautiana mabao ya Kufunga na...

HIVI NDIVYO MAYELE ALIVYOMBURUZA MOSES PHIRI KITAKWIMU…NTIBAZONKIZA HOI BIN TAABANI..

0
Habari za Simba

Mshambuliaji wa klabu ya Young Africans SC, Fiston Mayele amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23 akiwashinda Mosses Phiri wa Simba na Saido Ntibazonkíza wa Geita Gold alioingia nao fainali. Katika mwezi Novemba Mayele alionesha kiwango kizuri baada ya kutoa mchango mkubwa kwa Yanga, ikiwa ni pamoja na kufunga mabao saba, kati...

TETESI : KOCHA WA AL AHLY KUTUA SIMBA SC…MPANGO MZIMA UKO NAMNA HII…

0

Kocha aliyewahi kufanya kazi na Al Ahly ya Misri, Alexandre Santos anatajwa kuingia kwenye rada za Simba SC ili kuchukua nafasi ya Kocha Mkuu. Kocha huyo anayefundisha Petro de Luanda mwenye umri wa miaka 46, anashikilia leseni ya UEFA Pro. Kocha huyo anatajwa kuwa na uzoefu mkubwa na filabu vikubwa vya Afrika na nje ya Afrika miongoni mwa vilabu alivyovifanyia kazi...

AZAM WAPANIA KWA FEI TOTO…WAMWEKEA MIL 350 MEZANI PAMOJA NA MSHAHARA WA MIL 10 KWA MWEZI..

0
Fei toto Yanga SC

Kiungo wa Yanga SC, Feisal Salum (Fei Toto) huenda akatimkia kunako klabu ya Azam mwisho mwa msimu huu (2022/23) baada ya Azam kumuwekea mezani takribani Tsh. Milioni 350 kama pesa ya usajili. Katika kuhakikisha wanainasa saini ya kiungo huyo Azam wapo tayari kutanguliza kishika uchumba ambapo kila mwezi Fei Toto atapokea Milioni 10 hadi dirisha kubwa la usajili litakapo funguliwa...

TAKUKURU WASHIKILIA FAILI LA SIMBA….MGUNDA KAWAPITISHA HAWA DIRISHA DOGO…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Raha la leo Alhamisi

KOCHA ALIYEIPELEKA MOROCCO KOMBE LA DUNIA KUTUA MSIMBAZI…SIMBA WAMALIZANA KIMYA KIMYA NA BEKI LA KAZI…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la SpotiXtra la leo Alhamisi

MGUNDA ATOA UELEKEO SIMBA…AITAJA YANGA..MBRAZILI WA SINGIDA ATIMKIA KWAO…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi

FT: NAMUNGO 0-2 YANGA SC….KISINDA KAONA MWEZI…BANGALA KAMA MAYELE TU…

0

NGOMA imekamilika Uwanja wa Majaliwa ubao ukisoma Namungo 0-2 Yanga ambapo wenyeji wamekwama kutamba mbele ya wageni. Namungo walizidiwa ujanja kipindi cha kwanza kutokana na makosa ya kipa Jonathan Nahimana kwenye kuokoa pigo la faulo ya Aziz KI iliyokutana na Yannick Bangala dakika ya 40. Bao la pili, Nahimana katika harakati za kuokoa shuti la Tuisila Kisinda alikutana nalo likiwa limezama...

BAADA YA KUTINGA ROBO FAINAL…MESSI ‘AISNICHI’ UINGEREZA KWENYE MBIO ZA UBINGWA QATAR..

0

SUPASTAA Lionel Messi amezifanyia uchambuzi timu zilizobaki kwenye fainali za Kombe la Dunia 2022 kwa maana ya zile zenye uwezo wa kubeba ubingwa, lakini amewaweka kando England kwamba hawashawishi. Messi alifunga bao la kwanza kwenye mechi ya raundi ya 16 bora ya fainali za Kombe la Dunia 2022 dhidi ya Australia na hivyo kumfanya afikishe idadi ya mabao matatu katika...