KISA KUIFUNGA ARGENTINA…MFALME SAUDI ARABIA ATANGAZA SIKU YA MAPUMZIKO NCHI NZIMA…
Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz Al Saud ametangaza kuwa leo Jumatano Novemba 23, 2022 itakuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kwa watumishi wa Serikali na Sekta binafsi pamoja na wanafunzi wote nchini humo ili kusherehekea ushindi wa bao 2-1 wa Timu ya Taifa hilo dhidi ya Argentina katika mchezo wa Kundi C wa michuano ya Kombe la...
ACHANA NA KILE KIPIGO KUTOKA YANGA …SINGIDA BIG STARS KUMBE WANAJAMBO LAO AISEE..
Klabu ya Singida Big Stars ambayo imepanda daraja msimu huu huku ikifanya vizuri katika ligi kuu ya NBC imetanabaisha mipango yake ya kuiwakilisha nchini mwakani kwenye michuano ya kimataifa. Kupitia Mdau wa klabu hiyo ambaye pia ni Mbunge Festo Sanga ameweka wazi mipango ya klabu hiyo msimu huu ni kubeba ubingwa wa ligi kuu na ikitokea wameshindwa basi lengo kuu...
FT: DODOMA JIJI 0-2 YANGA SC…MAYELE AMPA MTIHANI MWINGINE JOHN BOCCO…
FISTON Kalala Mayele amendelea kutikisa nyavu ndani ya ligi kuu NBC baada ya leo kupachika mabao mawili na kuisaidia timu yake kuondoka na ushindi wa mabao mawili dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo ambao ulichezwa kwenye dimba la Liti mkoani Singida tumeshuhudia wachezaji wengi wa Yanga kupata majeruhi kwenye mchezo huo akiwemo nahodha wao Bakari Nondo Mamnyeto na Feisal Salum. Kipindi...
HIVI NDIVYO MASTAA YANGA WALIVYOJIGAWIA TIMU ZA KUSHABIKIA KOMBE LA DUNIA…
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wametaja timu wanazozipatia nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa Kombe la Dunia ambapo michuano hiyo inaendelea huko Qatar. Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze yeye amesema amewapa nafasi kubwa Senegal na Argentina wataafika fainali na kombe ataabeba Argentina. Wachezaji wametaja kama ifuatavyo; ➡️ Ufaransa Fiston Mayele ➡️Argentina Nkane Denis Kibwana Shomari Feisal Salum ➡️Brazil Gael Bigirimana Dickson Job Ibrahim Bacca. Mzize Clement ➡️Senegal Ambundo Dickson Kwa maana hiyo Brazil wamepewa...
KISA CHAMA… OKRAHA NA PHIRI WAAPA IPO SIKU TIMU MOJA ITAKIONA CHA MOTO..
Nyota wa Simba, Augustine Okrah na Moses Phiri wamefichua siri kubwa ya kufanya vizuri msimu huu katika mashindano mbalimbali huku wakibainisha ushindani uliopo kati yao ndio chanzo kikubwa. Phiri na Okrah wamefunguka kuwa kitu kinachotengenezwa na utatu wao wa Clatous Chama na jeshi zima la Wekundu wa Msimbazi, kuna watu watajua hawajui. Jeshi la Mgunda juzi lilitoa dozi ya mabao 4-0...
MCHEZO WA DAKIKA ZA KUSIMAMA WARUDI TENA YANGA…LEO ZAMU YA GSM…
Leo Jumanne, Novemba 22, 2022, Yanga itashuka uwanja wa Liti mkoani Singida kuikabili Dodona Jiji kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC. Afisa habari wa Yanga Ally Kamwe amesema kesho katika mchezo huo watafanya matukio mawili makubwa. Kwanza ni kuendeleza utaratibu wa kuwapongeza wachezaji na benchi la ufundi baada ya kucheza mechi 47 za ligi kuu bila kupoteza. Tukio hilo litafanyika katika...
ILE SINEMA YA MPOLE NA MABOSI ZAKE…YAFIKIA HATUA HII…GEITA WAKIMBILIA INSTGRAM…
Mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole amemalizana na uongozi wa timu hiyo, na jana Novemba 21, 2022 aliripoti kambini kwa ajili ya michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara baada ya kufikia muafaka mzuri na uongozi wa timu hiyo. Straika huyo alikuwa katika mgogolo na uongozi wa timu hiyo, kabla ya kugoma kuingia kambini akiwa amekosa michezo kadhaa ya Ligi . “Kijana...
NABI APANIA KUITIKISA AFRIKA…ATAJA MASHINE MPYA ZA KUONGEZA NGUVU YANGA…
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Disemba 15, Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ataleta mashine tatu kwa ajili ya kuboresha kikosi chake. Nabi alisema malengo yake ni kushinda taji la Ligi Kuu mfululizo na kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Nabi alisema kabla ya mchezo wa Dodoma Jiji leo Jumanne,...
MACHAGUO SPESHO NA ODDS KUBWA KOMBE LA DUNIA LEO MKEKA UMEKAA HIVI….
Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Jumanne kutakuwa na mechi 4 za kundi C na D, Argentina vs Saudi Arabia, Mexico vs Poland, Denmark vs Tunisia, na France vs Australia. Kesho Jumatano kundi E na F, Germany vs Japani, Spain vs Costa, Morocco vs Croatia na Belgium vs Canada. Beti sasa na Meridianbet kwa kuchagua...
UINGEREZA ‘WAUA MENDE KWA RUNGU’…SENEGAL BILA YA MANE YAKUNG’UTWA…
Mabao 8 yamepatikana kwenye mchezo wa Kombe la Dunia huko Qatar baada ya dakika 90 kukamilika kati ya England dhidi ya Iran. Ubao wa Uwanja wa taifa wa Khalifa umesoma England 6-2 Iran kwenye mchezo wa kundi B. Mabao ya Jude Bellingham dakika ya 35, Bukayo Saka dakika ya 43 na 62, Raheem Sterling dakika ya 45+1, Marcus Rashford dakika ya...