ILE SINEMA YA MPOLE NA MABOSI ZAKE…YAFIKIA HATUA HII…GEITA WAKIMBILIA INSTGRAM…
Mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole amemalizana na uongozi wa timu hiyo, na jana Novemba 21, 2022 aliripoti kambini kwa ajili ya michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara baada ya kufikia muafaka mzuri na uongozi wa timu hiyo. Straika huyo alikuwa katika mgogolo na uongozi wa timu hiyo, kabla ya kugoma kuingia kambini akiwa amekosa michezo kadhaa ya Ligi . “Kijana...
NABI APANIA KUITIKISA AFRIKA…ATAJA MASHINE MPYA ZA KUONGEZA NGUVU YANGA…
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Disemba 15, Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ataleta mashine tatu kwa ajili ya kuboresha kikosi chake. Nabi alisema malengo yake ni kushinda taji la Ligi Kuu mfululizo na kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Nabi alisema kabla ya mchezo wa Dodoma Jiji leo Jumanne,...
MACHAGUO SPESHO NA ODDS KUBWA KOMBE LA DUNIA LEO MKEKA UMEKAA HIVI….
Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Jumanne kutakuwa na mechi 4 za kundi C na D, Argentina vs Saudi Arabia, Mexico vs Poland, Denmark vs Tunisia, na France vs Australia. Kesho Jumatano kundi E na F, Germany vs Japani, Spain vs Costa, Morocco vs Croatia na Belgium vs Canada. Beti sasa na Meridianbet kwa kuchagua...
UINGEREZA ‘WAUA MENDE KWA RUNGU’…SENEGAL BILA YA MANE YAKUNG’UTWA…
Mabao 8 yamepatikana kwenye mchezo wa Kombe la Dunia huko Qatar baada ya dakika 90 kukamilika kati ya England dhidi ya Iran. Ubao wa Uwanja wa taifa wa Khalifa umesoma England 6-2 Iran kwenye mchezo wa kundi B. Mabao ya Jude Bellingham dakika ya 35, Bukayo Saka dakika ya 43 na 62, Raheem Sterling dakika ya 45+1, Marcus Rashford dakika ya...
KOCHA MPYA MRENO SIMBA APEWA MECHI MAALUMU…ISHU YA SAIDO KUTUA MSIMBAZI IKO HIVI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumanne.
JEMEDARI SAID: INAKERA…YANGA WAKISHINDA WAMENUNUA MECHI… ILA SIMBA NI SAWA..?
Baada ya kuzuka kwa tabia ya watu kuzusha maneno ya rushwa pindi timu za Simba na Yanga zinapopata matokeo mbele ya timu zingine za Ligi Kuu Tanzania Bara. mchambuzi mahiri wa masuala ya Soka Jemedari said ameibuka na kukemea suala hilo huku akusisitiza ubora wa vikosi hivyo , walimu wenye uwezo ndio hasa siri ya kufanya vyema katika michezo yao. "imeanza...
ENG. HERSI: YANGA TUKO TAYARI KUMWACHA FEI TOTO AENDE…VYUMA VINAKUJA ZAIDI…
Klabu ya Yanga imesema wapo tayari kumwachia kiuongo wao mshambulizaji, Feisal Salum 'Fei Toto' kwenda nje ya nchi ambayo itafikia makubaliano na si kwa klabu yoyote ya ndani ya nchi kama ambavyo imekuwa ikisemwa. Hayo yamesemwa na Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said ikiwa ni siku chache baada ya tetesi kuanza kusambaa kuwa mchezaji huyo anataka kusajiliwa na matajiri wa...
ZA NDAANI KABISA….HII HAPA SIRI NYUMA YA PAZIA YANGA KUAMUA KUVAA JEZI NYEUSI….
Unaambiwa Yanga ina jambo lake katika jezi rangi nyeusi inayopenda kuitumia na kuivaa sana kwa sasa katika mechi zake. Jezi hiyo ina mzuka wa aina yake na haijawahi kuiangusha pindi inapocheza mchezo wowote. Ni kama ina bahati Fulani hivi kwa mabingwa hao wa kistoria wa Ligi Kuu kwa mwaka huu tangu ilipoivaa na kumtoa Mwarabu wa Tunisia ugenini na kufuzu hatua...
PANGA LAPITA NA MASTAA HAWA 6 YANGA…KICHUYA ATANGAZA KURUDI ZAKE SIMBA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Soti Xtra la leo Jumanne.
SALAMBA AFUNGUKA A-Z KINACHOMPA MADILI YA KUCHEZA KWA WAARABU…AITAJA SIMBA ….
Baada ya mashabiki wa soka kujiuliza nani yupo nyuma ya dili za kupata timu nje kwa straika, Adam Salamba ambaye kwa sasa amejiunga na Ghaz El Mahalla ya Misri anayochezea Himid Mao, mchezaji huyo amefunguka. Anasema hajawahi kujibweteka tangu alipoamua kuchagua soka kuwa chanzo chake cha mapato. Ndipo alipoamua kujitengenezea utaratibu wa kuhakikisha kwa siku anafanya mazoezi mara tatu, ili...