MATOLA ATANGAZA KUSEPA SIMBA…KASEJA KURUDI MSIMBAZI …AUCHO ANOGEWA NA ‘SURE BOY’….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili.

FT: SIMBA SC 1-0 IHEFU …SAKHO APIGA GOLI LA MSHINDO…AZAM FC WALITAMANI MECHI IISHE HARAKA…

0

Baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Big Star,timu ya Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba ilipata bao la ushindi dakika ya 63 likifungwa na Pape Sakho bao lililodumu hadi dakika 90. Kwa ushindi huo Simba imefikisha Pointi 21 nafasi ya pili...

HUYU MZAMIRU MPYA NI BALAA NA NUSU…KWA TAKWIMU ZAKE HIZI NDIO MAANA MGUNDA KAMGANDA…

0

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin ni habari nyingine eneo la kati kutokana na kuimarika kwenye kila mchezo ambao ataanza. Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars alikuwa na majukumu matatu, kupoka mipira kwa wapinzani, kulinda na kupeleka mashambulizi kwenye lango la wapinzani. Asilimia 80 ya mipira aliyokuwa anapiga ilikuwa inafika kwa walengwa husika...

YANGA WAIBUKA NA ‘MIHOGO PARTY’….ALLY KAMWE AFUNGUKA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI…

0

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa ushindi ambao wamepata ni zawadi kwa Wananchi na Tanzania kiujumla hivyo ni furaha kwa kila mtu. Yanga metinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika kwa jumla ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Club Africain. Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-0 Club Africain. Bao la ushindi la Yanga...

UKIACHA CHAMA NA BANDA…HAWA HAPA MASTAA WENGINE SIMBA WATAKAOKOSEKANA LEO DHIDI YA IHEFU..

0

MASTAA waliofunga jumla ya mabao matano ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda yatakosekana leo Uwanja wa Mkapa kutokana na sababu mbalimbali. Timu hiyo ambayo imetoka kuonja joto ya kupata pointi moja ugenini baada ya ubao wa Uwanja wa Liti kusoma Singida Big Stars 1-1 Simba leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Ihefu. Nyota...

SIMBA YAPATA DAWA MPYA….OKRAH NDANI…IHEFU WAPANIA KUPIGA KWENYE MSHONO…

0
Habari za Simba

KOCHA wa Simba, Juma Mgunda amesema upungufu ulioonekana kwenye mechi iliyopita dhidi ya Singida Big Stars (SBS) baada ya kuwakosa, Clatous Chama na Augustine Okrah hautakuwepo kwenye mechi ya leo Jumamosi dhidi ya Ihefu FC ambayo inashika mkia huku ikitamba kufanya maajabu Dar. Mechi hiyo inachezwa saa 1:00 usiku ambapo Simba itaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya...

MEXIME: NIMEONA UDHAIFU WA YANGA…WATU WANATAKA USHINDI TU..

0

Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime ameipongeza Yanga kwa ushindi ilioupata ugenini nchini Tunisia dhidi ya Club Africain na kucheza mpira mkubwa huku akitamba kuwa hilo haliwatishi kwani wamejiandaa vya kutosha kuchukua pointi tatu kesho dhidi mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu. Kagera Sugar itaikaribisha Yanga kesho katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza mchezo huo ukipigwa kuanzia saa 10 jioni...

ISHU YA AUCHO YANGA BADO NJIA PANDA…NABI AVUNJA UKIMYA KINACHOENDELEA…

0
Habari za Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredinne Nabi amewatoa hofu mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kutokuwa na wasiwasi kwa kukosekana baadhi ya wachezaji akiwamo Aziz Ki huku akitamba kuwa timu hiyo itacheza kikubwa kesho dhidi ya Kagera Sugar na kuwapa furaha. Mbali na Aziz Ki ambaye amepewa ruhusa ya kwenda kwao nchini Burkina Faso, Nabi amesema bado hatma ya kiungo wao...

CHAMA: SIMBA WANAWEZA KUZIBA PENGO LANGU….

0
Habari za Simba

KIUNGO fundi wa Simba, Clatous Chama amesema wapenzi na mashabiki wa timu hiyo wanatakiwa kutulia kwani ushindani wa Ligi Kuu Bara bado ni mkali licha ya kudondosha pointi tano hivi karibuni. Kuhusu suala la kupewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu, Chama alisema anayaheshimu maamuzi na anaamini kikosi cha Simba kina wachezaji wengi wanaoweza kuziba nafasi yake. Alisema ataendelea kufanya mazoezi na...

SIKU CHACHE BAADA YA KUFUZU CAF…NABI ALIA NA TFF…ADAI WANAIONEA YANGA KWA RATIBA NGUMU…

0
Habari za Yanga

UFINYU wa muda kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa kesho katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza umemuibua Kocha Mkuu wa Yanga, Nasredinne Nabi ambaye amepaza sauti akizitaka mamlaka za soka nchini kutazama upya upangaji wa ratiba ambao hautaziumiza timu. Nabi amesema timu yake ilikwenda Tunisia kuliwakilisha Taifa na imefanya vizuri lakini mamlaka ni kama hazijazingatia...