WAMISRI WAPAGAWA NA MUONEKANO WA LIGI YA BONGO…WATOA SHINIKIZO HILI…

0
Simba SC vs Yanga SC

Mtandao mkubwa wa Time Media (وسائل الإعلام الوقت) kutoka nchini Misri imesifu ubora wa utangazaji wa Ligi kuu ya NBC na Azam TV, huku ikitolea mfano goli zuri lililofungwa na Stephane Aziz KI  likitangazwa kupitia Azam TV Channels Network. Mtandao huo mkubwa kutoka nchini Misri umesema utangazaji wa Ligi kuu ya Tanzania ni mzuri kuliko utangazaji wa Ligi kuu ya...

KUELEKEA MECHI NA WAARABU…NABI APANGA KUTUMIA MBINU ZA SIMBA…YANGA WASHTUKA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Jumanne Novemba mosi.

KUELEKEA MECHI NA WATUNISIA..MTOTO WA NABI AICHEZA MECHI YOTE…MGUNDA ATAJA SILAHA MPYA SIMBA..

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne Novemba mosi.

BAADA YA KIMYA KIREFU…DILUNGA AVUNJA UKIMYA SIMBA…AFUNGUKA MSOTO ANAOPITIA….

0

Kiungo Mshambuliaji Hassan Dilunga amesema hana budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hali anayoipitia kwa sasa, huku akiachwa kwenye kikosi cha Simba SC. Dilunga hakuwa sehemu ya Wachezaji wa Simba SC waliotambulishwa rasmi kwa ajili ya msimu huu 2022/23 katika Tamasha la Simba Day, kutokana na kusumbuliwa na jeraha la goti tangu msimu uliopita. Akizungumza Dar es salaam, Kiungo huyo amesema anaamini...

ONGALA : AZAM KUZIFUNGA SIMBA NA YANGA SIO ISHU….TATIZO LIPO KWENYE KUZIFUNGA TIMU ZINGINE…

0

Kali Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wa timu hiyo wana uwezo mkubwa hivyo hawahitaji kupewa mambo mengi wa kuzikabili timu kongwe Bongo Simba na Yanga. Msimu wa 2022/23 timu ya kwanza kuwatungua Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda ni Azam FC ambapo iliibuka na ushindi wa bao 1-0 huku mtupiaji akiwa ni Prince Dube. Ilipokutana...

ALLY KAMWE: SISI YANGA SC NDIO TUTAAMUA TUFUNGWE LINI TUKITAKA….

0
Habari za Yanga

Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa watapanga wao lini wafungwe ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na uimara walionao. Kwenye ligi Yanga imecheza mechi 45 bila kufungwa ambapo hivi karibuni walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Simba ambao ni watani zao wa jadi. Kisha wakacheza na KMC na kupata ushindi wa bao 1-0 kabla ya juzi kuifunga...

TAJIRIKA NA MECHI ZA KUAMUA NANI KUFUZU 16 BORA-UCL…

0

Baada ya mechi 5 za mwanzo kuchezwa, sasa hii ni mechi ya 6 ya kuamua ni nani atafuzu hatua ya 16 bora, nani ataenda Europa nani kufungashiwa vilago UCL, wakati huo Man City, Chelsea, Napoli, Madrid, Inter Milan na PSG, Liverpool, Dortmund, Porto na Club Brugge, Bayern, Benfica wapo sehemu salama, wakati Kundi D yeyote ana nafasi ya kufuzu. Jumanne...

KAZE: MAKAMBO HAMNA KITU SIKU HIZI…TULITAKA MAYELE APUMZIKE TU…

0
Staa wa Yanga SC Makambo atakiwa na Coastal Union

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amekiri mshambuliaji Heritier Makambo alikuwa chini ya kiwango katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold Hata hivyo Kaze amesema walilazimika kumtumia Makambo ili kumpumzisha Mayele ambaye alipata majeraha wakati wakijiandaa na mchezo dhidi ya KMC "Ni kweli Makambo hakuwa katika kiwango bora leo lakini ilikuwa ni lazima tumtumie ili kumpa Mayele mapumziko. Mpango...

PAMOJA NA KUWA NA KIWANGO CHA ‘PANDA SHUKA’…LUSAJO APATA WA KUMTETEA LIGI KUU…

0
Habari za Michezo, habari za Simba

Kupungua kwa kasi ya ufungaji kwa mshambuliaji wa Namungo, Reliants Lusajo wala hakumpi presha kocha wa kikosi hicho, Hanour Janza akisema kikubwa timu inapata matokeo mazuri na hilo ndilo jambo la msingi. Janza alisema anachoangalia ni namna Lusajo anavyoshirikiana na wenzake katika kusaka matokeo mazuri ya timu ndio jambo ambalo ni bora zaidi. “Kutofunga ni hali ya kawaida ambayo inaweza kumkuta...

DEO KANDA: SIMBA WAMETUOTEA KWA BAHATI MBAYA TU…

0
Habari za Simba leo

Kiungo kutoka DR Congo na Klabu ya Mtibwa Sugar Deo Kanda amesema imekua bahati mbaya kwao kupoteza dhidi ya Simba SC kwa idadi kubwa ya mabao, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzana Bara. Mtibwa Sugar jana Jumapili (Oktoba 30) ilipoteza kwa kufungwa 5-0 dhidi ya wenyeji wao Simba SC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, huku wachezaji...