PAMOJA NA KUIKOA YANGA JUZI….FEI TOTO AFUNGUKA A-Z ALIYOYAPITIA KABLA YA MECHI…
Mfungaji wa goli pekee la Yanga katika mchezo wa juzi dhidi ya KMC, Feisal Salum 'Fei Toto' amefichua siri ya kilichomuwezesha kuipa Yanga ushindi kwenye mchezo huo. Akizungumza mara baada ya mchezo huo kumalizika katika Dimba la Mkapa kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0, Feisal aliyefunga bao hilo dakika ya 80 amesema; "Nilipata hitilafu kidogo tumbo lilikuwa linanisumbua ndiyo...
MAKOCHA ZAIDI YA 100 WAITAKA AZAM FC…..ISHU YA NABI KUTUA CHAMAZI YAIBUKA UPYA…
Baada ya kutimuliwa kwa kocha Mkuu wa kikosi cha Azam FC, Denis Lavagne, Uongozi wa klabu hiyo umepokea zaidi ya maombi 100 ya makocha wanaotaka nafasi hiyo. Lavagne raia wa Ufaransa ambaye alijiunga na kikosi cha Azam hivi karibuni alisimamia timu hiyo katika michezo sita na kufanikiwa kushinda mechi tatu na kupoteza tatu. Akizungumzia mchakato wa kumpata kocha Mkuu, Kaimu Ofisa...
NABI AFUNGUKA ISHU YA ‘KUMSUSA’ MAYELE JUZI…SABABU NYUMA YA PAZIA NI HIZI HAPA..
Dakika 90 za mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya KMC zimemalizika kwa. ‘Wananchi’ kuibuka na ushindi wa bao 1 -0. Bao pekee kwenye mchezo huo lilifungwa na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika dakika ya 80 ya mchezo akitumia udhaifu wa mabeki wa KMC waliyoshindwa kuzuia pasi safi iliyopigwa na Stephane Aziz Ki. Huu ni...
TAJIRI TAJIRI TU…HIVI NDIVYO GSM ALIVYOZIMA ISHU YA NABI KUFUKUZWA YANGA…MAMBO HAYA 5 YALIKUWA LAZIMA ‘ASEPE’…
Yanga walikuwa kwenye hatua za mwisho za kuachana na Kocha Nasredine Nabi, lakini habari za ndani zinadai kwamba tajiri wa timu hiyo, Ghalib Said ‘GSM’ amezuia asiondoke. Yanga tayari ilishafanya mazungumzo na kumtumia mkataba Kocha raia wa Brazil, Robert Oliveira ‘Robertinho’ anayeinoa Vipers ya Uganda lakini tajiri akasema kila kitu kitulie kwanza baada ya presha kuwa kubwa kutoka kwa wanachama...
FT: AZAM FC 1-0 SIMBA SC…..WAKIMATAIFA WAFINYIWA NDANI NA WANALAMBALAMBA…
KLABU ya Azama Fc imefanikiwa kuinyuka Simba Sc bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Bao la Azam Fc lilifungwa na Prince Dube ambaye alipachika bao kali ambalo lilifungwa katika kipindi cha kwanza. Mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake, licha ya Azam Fc kukosa nafasi za...
CHIZIKA NA MZUKA WA USHINDI KWENYE KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!
Leo bwana sloti nimekuletea sloti bomba kabisa ya Crazy Times kutoka Meridianbet, hapa ni ushindi babu kubwa ndiyo unaokufanya uchizike! Ungependa kuwa mshindi wa wa Crazy Times? Ifahamu zaidi hapa! Kuhusu Sloti ya Crazy Time Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto kinachofahamika kama...
DAKIKA CHACHE KABLA YA SIMBA SC KUKIPIGA NA AZAM FC LEO…AHMED ALLY KAJA NA ‘NGONJERA’ HIZI TENA…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally ameitisha Azam FC kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao utapigwa baadae leo Alhamis (Oktoba 27), Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Ahmed amesema Simba SC ipo tayari na imara kuelekea mchezo huo, ambao watakua ugenini licha ya kuhamishwa Uwanja kutoka Azam Complex-Chamazi, ambako ulipaswa kuchezwa kabla...
SIKU KADHAA TOKA AMTESE MANULA…KWA MARA YA KWANZA AZIZ KI AITAJA SIMBA KWA HILI…
Kiungo Mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephen Aziz Ki ameitumia salamu Simba SC, kwa kusisitiza msimu huu watahakikisha Young Africans itatetea Taji la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya pili mfululizo. Young Africans ilitwaa Ubingwa msimu uliopita 2021/22 kwa Rekodi ya kushinda michezo yote 30 ya Ligi Kuu, Rekodi ambayo inaendelea hadi msimu huu 2022/23. Aziz Ki ambaye alisajiliwa Young Africans...
BAADA YA KUWAONA YANGA WANAVYOCHEZA….KOCHA WA WATUNISIA KATIKISA KICHWA WEE..KISHA AKASEMA HAYA…
Kocha Mkuu wa Club Africain Bertrand Marchand, ametangaza hadharani kuwa tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Mtoano Kombe la Shirikisho dhidi ya Young Africans. Young Africans itakua mwenyeji wa mchezo huo Jumatano (Novemba 02) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, kabla ya kwenda jijini Tunis-Tunia kwa mchezo wa Mkondo wa Pili utakaopigwa, Novemba 09. Kocha Marchand...
BAADA YA TANZANIA U-23 KUTUA NIGERIA…HII NDIO HALI WALIYOPOKELEWA NAYO…
Kikosi cha Timu ya Taifa Chini ya Umri wa miaka 23, kimewasili salama nchini Nigeria, kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (U23AFCON), zitakazounguruma mapema mwaka 2023 nchini Morocco. Kikosi hicho kililazimissha sare ya 1-1 katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi (Oktoba 22), hivyo kitalazimika kusaka ushindi wa aina...