KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA WANAWAKE…, OPA ATEMA NYONGO SIMBA QUEEN’S…
Nahodha na Mshambulaiji wa Mabingwa wa Soka Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’ kwa Wanawake ‘Simba Queens’ Opa Clement, ameushukuru Uongozi wa Simba SC kwa kufanikisha maandalizi ya kikosi chao, kuelekea Michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Simba Queens imepata nafasi ya kushiriki Michuano hiyo, baada ya kutawazwa kuwa Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’ mwezi Agosti, wakiifunga SHE Coperates ya...
NABI AFUNGUKA ISHU YA KUFUTWA KAZI YANGA…MGUNDA ‘AMCHANA LIVE’ SAKHO NA TABIA YAKE…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.
KOCHA SIMBA APANGA KUMTIBULIA ZAIDI NABI NDANI YA YANGA…AAPA ‘KUMKUSANYA KAMA ZEGE’…
Kocha Mkuu wa KMC FC Hitimana Thierry amepania kuharibu Rekodi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans ya kutofungwa michezo 43 mfululizo tangu msimu uliopita 2021/22. Kocha Hitimana ambaye aliwahi kupita Simba SC kabla ya kutimkia KMC FC amesema, amejipanga kuitibulia Young Africans kupitia mchezo wa kesho Jumatano (Oktoba 26), utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Hitimana...
SAMATTA AZIDI KUVURUGA REKODI ZA WAZUNGU UBELIGIJI…KAWEKA REKODI HII TENA…
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amefikisha mechi 200 akiwa na jezi ya klabu ya KRC Genk ya Ubeligiji, katika mechi hizo amefunga mabao 77 na kutoa asisti 21. Samatta alijiunga na Genk kwa mara ya kwanza January 29, 2016 akitokea TP Mazembe ya Congo ambapo alitumikia klabu hiyo mpaka 2020 na kutimkia Aston Villa ya England. Baadae...
KOCHA SIMBA QUEEN’S AAPA KUFANYA KWELI LIGI YA MABINGWA AFRIKA WANAWAKE …
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Afrika Mashariki na Kati kwa Wanawake ‘Simba Queens’ Charles Lukula, amewatoa hofu Mashabiki kwa kusema kikosi chake kipo tayari kwa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba Queens itaanza Kampeni ya kusaka taji la Afrika Oktoba 30 kwa kucheza na wenyeji AS FAR (Morocco), kwenye Uwanja wa Moulay Hassan, mjini Rabat. Akizungumza katika Mkutano na...
WAKATI YANGA WAKIJIUMAUMA KWA NABI….SIMBA WAPANGA KUIFANYIA ‘JAMBO BAYA’ AZAM FC..
Klabu ya Simba SC imejizatiti kupambana vilivyo ili kurejesha furaha kwa Mashabiki na Wanachama wake, kupitia mchezo wa keshokutwa Alhamis (Oktoba 27), dhidi ya Azam FC. Simba SC itakuwa mgeni katika mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, huku ikiwa na kumbukumbu ya matokeo ya sare ya 1-1 walioipata dhidi ya Young Africans juzi Jumapili (Oktoba...
BREAKING NEWS….YANGA WATOA TAARIFA RASMI KUHUSU KUACHANA NA NABI…
TAARIFA: Uongozi wa Yanga unapenda kuwataarifu mashabiki na Wanachama wake kuwa Nasreddin Nabi, bado ni kocha mkuu wa timu yetu. Nabi alijiunga na Yanga April, 2021 na amekuwa na rekodi nzuri ya kuiongoza timu yetu kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, bila kupoteza. Akizungumza na YANGA MEDIA, Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andre Mtine amewaomba mashabiki na wanachama wa...
WAKATI TETESI ZA KUFUKUZWA ZIKIWA BADO ZA MOTO..NABI HUYU HAPA AFUNGUKA KUHUSU SIMBA…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kitendo cha watani wao wa jadi, Simba kushindwa kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wa juzi Jumapili ni wazi kuwa hawawezi kumpata tena, amefunguka hayo na kukiri kuwa wapinzani wake walikuwa bora. Yanga ilikuwa mwenyeji wa mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam ukimalizika kwa sare ya bao 1-1 mabao yote...
MWISHO WA ENZI….NABI KUTUPIWA VIRAGO YANGA…HOFU YATANDA KUHUSU KUIBUKIA SIMBA…
Sasa ni rasmi unaweza kumwambia tu. kwamba Yanga imeachana na ‘Profesa’ Nabi Nasreddine Mohammed pamoja na msaidizi wake, Cedrick Kaze. Na kocha mpya ni raia wa Brazil, Roberto Oliveira anayeinoa Vipers ya Uganda. Kocha huyo ndiye aliyeifunga Yanga kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi jijini Dar es Salaam lakini juzijuzi aliiondosha TP Mazembe nyumbani kwao kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tena...
HUU HAPA WASIFU WA KOCHA MPYA YANGA…KASHAFUNDISHA TIMU LIGI KUU BRAZILI…
Kocha mpya ambaye anatarajiwa kujiunga na Yanga ni raia wa Brazil, Roberto Oliveira anayeinoa Vipers ya Uganda. Kocha huyo ndiye aliyeifunga Yanga kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi jijini Dar es Salaam lakini juzijuzi aliiondosha TP Mazembe nyumbani kwao kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tena akiipigia mpira mwingi kwa kutumia kikosi chenye thamani ambayo haifikii ile ya Yanga. WASIFU WA OLIVIERA ...