PAMOJA NA KUPIGWA JUZI….YANGA WALAMBA MKATABA NA UMOJA WA MATAIFA…

0

Leo Oktoba 18, 2022, Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC imetia saini mkataba wa miezi sita na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto – UNICEF unaolenga kuongeza uelewa wa umma kuhusu chanjo ya UVIKO-19 na uhamasishaji kuhusu virusi vya Ebola. Katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa Yanga SC, Andre...

MAMBO YA MO DEWJI HUKO SIMBA NI KUFRU TUPU…MASTAA WAPAGAWA…MGUNDA ATAJIRIKA GHAFLA….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne.

BAADA YA BARCA KUBUGIZWA GOLI 3-1NA MADRID ….XAVI KAONA ISIWE TABU AISEE…KAAMUA KUTEMA ‘NYONGO’ MAZIMA…

0

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi, amewaambia wachezaji wake wanahitaji kubadilika kama wanataka kushinda ubingwa wa La Liga msimu huu hiyo ni baada kupoteza mchezo wa El Clasico dhidi ya Real Madrid. Kocha huyo wa klabu ya Barcelona ameoongea hayo baada ya kufungwa katika dimba la Santiago Bernabeu na Real Madrid kwa mabao 3-1 na kuwafanya Barcelona kuachia Uongozi wa...

JAMAA ASHINDA MAMILIONI YA MERIDANBET KUPITIA SIMU KITOCHI….MKEKA WAKE HUU HAPA…

0

Wikiendi hii Meridianbet imeshuhudia bingwa mwingine wa ubashiri kwa USSD, ambaye amejikusanyia kitita cha shilingi milioni mbili kwenye ubashiri wake. Ungependa kufahamu zaidi juu ya ubashiri wake? soma hapa! Mteja wetu makini wa USSD, ambaye alibashiri bila intaneti kwa kupiga *149*10# alikuwa makini kujua historia za timu zinazocheza na kujiachia na machaguo mengi yaliyopo Meridianbet pekee. Bingwa wetu wa beti alichangamkia...

MO DEWJI ARUDISHA MAJESHI RASMI SIMBA….ATANGAZA KUFANYA MAKUBWA DIRISHA DOGO…

0

Rais wa Heshima na Mwekezaji mwenza wa Klabu ya Simba SC Mohamed Dewji ‘Mo’ amesisitiza kutokurudi nyuma baada ya kutinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23. Simba SC jana Jumapili (Oktoba 16) ilitinga Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa kuichapa CD Primeiro de Agosto ya Angola bao 1-0, baada ya kufanya, hivyo...

BAADA YA YANGA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA JANA…MAYELE AVUNJA UKIMYA…AFUNGUKA KILICHOWAFELISHA…

0
Habari za Yanga

Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele amesema walikua na kila sababu ya kutinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, endapo wangepata ushindi mzuri Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, Jumapili (Oktoba 08). Katika mchezo huo, Young Africans ililazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Hilal, hali ambayo iliifanya klabu hiyo kuwa na wakati mgumu jana...

KUHUSU YALE MADAI YA AZAM KUWAWEKEA MADAWA WAARABU…UKWELI WOTE HUU HAPA…WALIANZIA UWANJA WA NDEGE…

0

Taarifa kutoka Klabu ya Soka ya Azam; Tumesikitishwa sana na taarifa zinazoendelea kuenea kwenye mitandao mbalimbali ya ndani na nje ya Afrika, zikituhusisha sisi Azam FC na hujuma dhidi ya wapinzani wetu, Al Akhdar SC. Tunapenda kukanusha vikali kuhusika na jambo lolote baya dhidi Al Akhdar SC, tukiamini kwamba chanzo cha tuhuma dhidi yetu ni dhamira mbaya na ovu iliyolenga kututoa...

USIKU WA BALLON d’Or …,KATI YA HAWA NANI KUIBUKA MBABE….?

0
Habari za Michezo

Usiku leo Jumatatu 17/10 ndio usiku wa kufahamika mchezaji gani anakwenda kuondoka na ballon dior ikiwa kila mchezaji kutoka timu tofauti aliyebahatika kuwania kombe hilo anarekodi zake, wajue baadhi ya mastaa, walio kwenye orodha ya kinyanga’anyilo hichi, wasifu wao, baadhi ya rekodi zao, pamoja na timu wanazotoka. 1. Karim Benzema stika wa timu ya real madrid pia anaitumikia timu ya taifa ya...

ACHANA NA KIPIGO CHA WASUDAN JANA…ALLY KAMWE APATA PIGO LINGINE….MASTAA YANGA WAUNGANA NAYE…

1
Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mwanaye, Latiffah Ally Kamwe wakati akiwa Addis Ababa, Ethiopia kuelekea Khartoum nchini Sudan kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Al Hilal. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kamwe ameandika; "Ndani ya uwanja wa Bole, pale Addis Ababa, Ethiopia. Dakika chache kabla hatujaunga ndege kwenda Khartoum,...

KISA USHINDI WA SIMBA JANA…RAIS SAMIA ATUMA KONGOLE MSIMBAZI…YANGA WACHUNIWA…..

0

Rais Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Simba SC kwa kufanikiwa kutinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika. Simba ilitinga hatua hiyo jana Oktoba 16, 2022 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar baada ya kuwafunga goli moja kwa bila vijana wa Agosto kutoka Angola. Kupitia ukuara wake wa Instagram ambao upo varrified, Rais Samia aliposti picha ya kikosi cha Simba na...