ONYESHO LINGINE LENYE MAFANIKIO MAKUBWA LA STUDIO ZA EXPANSE G2E HUKO LAS VEGAS
Toleo la hivi karibuni zaidi la Maonesho ya Kimataifa ya Michezo ya Kubahatisha (G2E) limekuwa na mafanikio makubwa. Wakati huu umekuwa pia ni wakati wa mafanikio makubwa ya Expanse Studio, mojawapo ya waandaaji na wasambazaji wa michezo ya kasino mtandaoni wanaokuwa kwa kasi zaidi. Expanse Studios walirejea kwenye jukwaa kuu na kuwasilisha matoleo yake mapya mbele ya wahudhuriaji 25,000...
MERIDIANBET WAWAFIKIA WAFANYA BIASHARA ZAIDI YA 300 DAR ES SALAAM….!
Oktoba 14 siku ya kumbukizi ya Kifo cha aliyekuwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Kampuni ya Meridianbet wameweza kutoa Aprons zaidi ya 300 kwa wafanyabiashara hasa baba lishe na mama lishe katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar- es salaam ikiwemo maeneo ya Makumbusho, Magomeni pamoja na eneno la Muhimbili. Kama ilivyo kawaida ya Meridianbet, timu yao ikiongozwa na...
DIRISHA DOGO ….SIMBA KUBEBA VIFAA HIVI KUTOKA ANGOLA…MGUNDA AWAPITISHA …
Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1 ugenini mjini Luanda, Angola lakini kabla ya kurejea nyumbani benchi la ufundi chini ya Mgunda, liliondoka na majina matatu ya nyota wa Agosto, ili kuyafanyia kazi kabla ya kurudiana nao wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mgunda aliondoka na majina ya John Mano, Dago Tshibamba kiungo mshambuliaji aliyefunga bao la kufutia machozi kwa...
WAPINZANI WA SIMBA CAF WAFANYA KUFRU….WAMFUNGA MTU GOLI 15-1…ALAFU HAWARINGI WALA NINI…
Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imeikandamiza klabu ya Le Passe ya vusiwa vya Ushelisheli jumla ya Magoli 8-1 na kutinga hatua ya makundi #CAFCL kwa ushindi wa jumla wa 15-1. Mamelodi almaarufu The Brazilians walishinda 7-0 kwenye mchezo wa kwanza. FT: SUNDOWNS 8-1 LE PASSE (Agg 15-1) Morena ⚽️ Mailula ⚽️⚽️⚽️ Motupa ⚽️⚽️ Domingo ⚽️ Maema ⚽️ Mamelod ni miongoni mwa klabu ambazo huenda ikapangwa...
HIVI NDIVYO NABI ALIVYOPANGA KUJILUPUA MBELE YA IBENGE KESHO…WAKIFELI KWA MBINU HIZI NDIO BASI TENA….
Katika kuhakikisha anapata matokeo mazuri ugenini dhidi ya Al Hilal, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kufanya mabadiliko ya baadhi ya wachezaji kwenye kikosi cha kwanza kitakachocheza mchezo huo. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Al Hilal uliopo katika Mji wa Omdurman huko nchini Sudan katika mchezo wa marudiano. Katika mchezo huo, Yanga itaingia uwanjani kwa...
WAKATI YANGA WAKIENDA SUDAN LEO….HIZI HAPA SABABU ZA SURE BOY KUPIGWA CHINI MAZIMA…
Yanga imewaweka hadharani wachezaji 25 wanaowafuata Al Hilal ya Sudan katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika huku kiungo fundi Salum Aboubakar'Sure boy' na winga Kinda Denis Nkane wakiachwa. Taarifa kutoka ndani ya Yanga ni kwamba Sure boy ataikosa safari hiyo kuelekea mchezo wa Jumapili Oktoba 16 dhidi ya Al Hilal kufuatia kuugua Malaria na homa ya matumbo...
MIEZI MICHACHE TOKA AJIUNGE NA SINGIDA BIG STARS….WAWA AVUNJA UKIMYA…AFUNGUKA MAKUBWA ALIYOFIKIRIA…
Baada ya timu mpya kwenye Ligi Kuu, Singida Big Stars kuanza kwa kishindo msimu huu, nahodha wake Pascal Wawa amefunguka huo ni mwanzo na malengo yao ni kwenda kimataifa. Wawa aliyejiunga na Singida mwanzoni mwa msimu huu akitokea Simba baada ya mkataba wake kumalizika ameeleza kwa uzoefu wake wa zaidi ya miaka sita ndani ya Ligi Kuu akiwa na Simba...
SIRI YA MGUNDA NA MASTAA SIMBA IKO HIVI…WAANGOLA WAPIGIWA TIZI LA KIKATILI DAR…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi.
MASHABIKI SUDAN WAIPANIA KINOMA YANGA….WANUNUA TIKETI KWA ‘UGWADU’….
Mashabiki wa soka Sudan wameendelea kununua tiketi kwa wingi jana Oktoba 14, kwa ajili ya kuishuhudia Al Hilal ikicheza dhidi ya Yanga Jumapili Oktoba 16 katika uwanja wa Al Hilal Omdurman. Mchezo huo wa Al Hilal dhidi ya Yanga ni wa mkondo wa pili kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya wikiendi iliyopita katika Uwanja...
YANGA WAIFUATA AL HILAL KIBABE….WAIGA MBINU ZA SIMBA KUCHEZA ‘AWAY’….INJINIA HERSI ASHTUKIA JAMBO….
Katika kuhakikisha Yanga wanapata matokeo mazuri mechi ya marudiano dhidi ya Al Hilal ya Sudani, mabosi wa Yanga wameanza kutegua mitego ya wapinzani wao nchini humo na wataanza na staili ya Simba iliyofanya Angola. inafahamika kwamba Kocha Nabi Mohammed ana mtandao mkubwa nchini Sudani na yuko kazi kwa sasa. Yanga itakuwa na kibarua cha kupambana kufuzu hatua ya makundi baada...