HATARIII…GSM WAFANYA BALA LINGINE HUKO…WAIPIKU DAU VUNJA BEI KWENYE UDHAMINI WA JEZI…KUIPA YANGA BIL 10.9…
Klabu ya Young Africans ya jijini Dar Es Salaam, leo imesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni ya GSM wenye thamani ya jumla ya Tsh Bilioni 10.9 kwa miaka mitano.Mkataba huo uliogawanyika sehemu mbili utahusisha, mkataba wa kwanza wa uzalishaji na usambazaji wa jezi pamoja na bidhaa mbalimbali za klabu ambapo kila mwaka GSM group itailipa Yanga SC Tsh...
HAWA AZAM FC MSIMUU HUU HAWATAKI ‘MBOMBELA’ AISEE…WAIFUATA MBEYA CITY NA ‘UGWADU’ KAMA WOTE…
Kikosi cha Azam FC kimewasili salama jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wanne wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City FC.Mchezo wa miamba hiyo ya Tanzania Bara umepangwa kupigwa kesho Jumanne (Septemba 13) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya, kuanzia saa kumi jioni.Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye kurasa za Mitandao ya Kijamii za...
TFF YAMBAKISHA ONYANGO SIMBA…SAKATA LA KISINDA LAZUA JAMBO JIPYA…KAMATI YAMTUPA DIRISHA DOGO…
Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imekata mzizi wa fitina kwa kuuzuia usajili wa winga aliyerejea Yanga, huku ikimrudisha beki Joash Onyango kuendelea kuitumikia Simba aliyotaka imteme ili ajiunge timu nyingine.Kamati hiyo ilikutana juzi jijini Dar es Salaam kupitia mapingamizi ya sajili za wachezaji wa klabu mbalimbali pamoja na...
UKWELI MCHUNGU….PAMOJA NA YOTE YANAYOENDELEA SIMBA…SIO BURE KUNA MAHALI HAPAKO SAWA…/MwanaSpoti.
ACHANA na taarifa za vyeti na leseni za CAF. Achana na taarifa za Simba kudaiwa kuazima kocha na Coastal Union kukanusha.Achana na zile kelele za mashabiki wa Simba kumkataa Matola pale kwa Mkapa. Achana na taarifa za Kocha Zoran Maki kuachana na Simba asubuhi na kutangazwa na timu ya Ligi Kuu Misri mchana.Achana na mambo yote unayosikia kwenye soka...
SAMATTA AANZA KUKIWASHA UPYA NA TIMU YAKE YA GENK….APIGA ‘BONGE LA GOLI’ DAKIKA ZA JIONI…
Mshambuliaji Mbwana Samatta alifunga katika dakika ya nyongeza na kuisaidia KRC GENK kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Royale Union Saint Gilloise kwenye ligi kuu soka nchini Ubelgiji.Hili ni bao la kwanza kwa Samatta tangu arejee rasmi kwenye kikosi hicho kwa mkopo wa msimu mzima.Ushindi huo umeifanya Genk kufikisha alama 19 katika nafasi ya pili kwenye msimamo...
HII HAPA TIMU KUTOKA ZNZ ILIYOANZA MASHINDANO YA CAF KIBABE….INANAFASI KUBWA YA KUTINGA MAKUNDI…
Timu ya Kipanga ya Zanzibar imetoa sare ya 1-1 na Al Hilal Wau y Sudan Kusini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.Mchezo huo ulikuwa wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa hatua za awali.Timu hizo zitarudiana Septemba 17 Uwanja wa Amaan, Zanzibar na mshindi wa jumla atasonga mbele.
PAMOJA NA SIMBA KUIBIKA NA USHINDI MALAWI….MGUNDA AOGOPA KUUMBULIWA NA BIG BULLET KWA MKAPA…
Baada ya kuwasili Dar es salaam jana Jumapili (Septemba 11) sambamba na kikosi chake, Kocha Mkuu wa Muda wa Simba SC Juma Mgunda amesema ana kazi kubwa ya kufanya kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa wa Malawi Nyasa Big Bullet.Simba SC Jumamosi (Septemba 10) iliibuka na ushindi wa 2-0 ugenini...
WIKI YA USIKU WA MABINGWA KUTIMUA VUMBI…., MERIDIANBET WANA MZIGO WAKO….!
Hatulazi damu, wiki hii tunaendelea kukupatia mihela ya kutosha kwenye mechi za UCL, chakufanya andaa mkeka wako meridianbet wamekupa odds kubwa kwenye game za wiki hii. Kabla ya kuanza usiku wa mabingwa, leo utashudia mechi mbili kali za Ligi ya Serie A na La Liga, Raundi ya sita itawakutanisha Empoli dhidi ya Romaambaye kashinda mechi 2, kapoteza 2 na...
PAMOJA NA UWEPO WA WABRAZILI …MAMBO YAWA MAGUMU KWA KAGERE NA SINGIDA YAKE ….ISHU NZIMA IKO HIVI…
MEDDIE Kagere ni miongoni mwa nyota walioanza kikosi cha kwanza kilichopangwa na Kocha Mkuu Hans Pluijm mwenye tuzo ya kocha bora kwa mwezi Agosti.Mchezo huo wa ligi umechezwa Uwanja wa Liti,baada ya dakika 90 ubao umesoma Singinda Big Stars 0-0 Dodoma Jiji.Mchezo wa jana Dodoma Jiji wamekamilisha wakiwa pungufu baada ya nyota wao Collins Opare kuonyeshwa kadi nyekundu kwa...
DUH….KWA JAMBO HILI LA NABI …SASA NI ZAIDI YA SIFA…WASUDANI WAJIANDAE KWA KIPIGO KINGINE CHA ‘PAKA MWIZI’…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi ipo kwenye mchezo wao ujao wa kimataifa dhidi ya Zalan FC.Jana, Septemba 10, ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ulisoma Zalan 0-4 Yanga huku wafungaji wakiwa ni Fiston Mayele aliyetupia mabao matatu na mzawa Feisal Salum aliyefunga bao moja.Ushindi huo ulipatikana kipindi cha pili baada ya dakika...