KUHUSU ISHU YA ‘KUVIMBA KICHWA’…KABUNDA AFUNGUKA A-Z NAMNA NAMUNGO WANAVYOISHI NAYE…

0

Winga wa Namungo FC, Hassan Kabunda amesema licha ya kuaminiwa na kuingizwa kwenye kikosi cha kwanza kwenye timu hiyo, haimfanyi kuvimba kichwa bali kuendelea kuonyesha uwezo wake na kuipa mafanikio timu hiyo.Kabunda aliyewahi kung’ara na huko nyuma na Mwadui na KMC, kwa sasa anaichezea Namungo aliyojiunga nayo msimu huu na ameweza kuwemo kikosi cha kuanza.Kabunda alisema kuaminiwa kwake ni...

SAKATA LA LESENI YA MGUNDA..MANARA AICHARURA TENA TFF…AWASHUKIA JUMLA JUMLA…TFF WAONA AIBU WAFUTA JINA…

0

Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema ameshangazwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Kujibu kila kitu kinachozuka kwenye mitandao ya kijamii akisema wanakurupukaKauli hiyo ya Manara inakuja ikiwa ni muda mfupi baada ya TFF kutoa orodha ya makocha wenye leseni ya daraja A la CAF baada ya mijadala kuibuka kuwa kocha mkuu wa muda wa Simba...

JACKPOT ZA KIBABE NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET…!

0

Upo makini kiasi gani linapokuja suala la kuchagua chimbo sahihi la kufurahia ubashiri na kushinda mishindo mikubwa? Nakupa chimbo hapa, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbetndiyo chaka lako la ushindi. Ingia windoni, jisogeze karibu zaidi na ushindi mkubwa kupitia sloti ya Wild Hot 40. Sloti ya Wild Hot 40      Ni kawaida kwa Meridianbetkukuletea Odds Kubwa, Ofa na Bonasi...

BILIONEA WA CHELSEA AJILIPUA KWA KOCHA MPYA….AMPA MKATABA AMBAO HAKUNA KLABU YA EPL INGEWEZA KUFANYA…

0

THOMAS Tuchel alifutwa kazi ndani ya Klabu ya Chelsea baada ya kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Dinamo Zagreb.Mbali na kichapo hicho pia Tuchel hakuwa na mwendo mzuri kwenye mechi za Ligi Kuu England msimu wa 2022/23.Ni Graham Potter aliyekuwa Kocha Mkuu wa Brighton ametangazwa kuwa kocha mpya kwa dili la...

UWANJA WA MAJALIWA SASA RASMI KWA MATUMIZI….NAMUNGO FC MENO NNJE…LUSAJO ATIA NENO…

0

UWANJA wa Majaliwa sasa utatumika kwa mechi za nyumbani kwa Klabu ya Namungo baada ya kufanyiwa ambayo yalichukua muda mrefu.Wakati wa maboresho hayo Namungo FC ilikuwa inatumia Uwanja wa Ilulu, Lindi na ulipofungiwa ili ufanyiwe maboresho walikuwa wanatumia Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa mechi za nyumbani.Mazoezi yao ya kwanza ilikuwa ni Septemba 7,2022 na mashabiki wengi walijitokeza kushuhudia...

BAADA YA COASTA UNION KUTOA TAARIFA YAO JANA…MGUNDA KAONA ISIWE TABU…AAMUA KUJIKABIDHISHA SIMBA MAZIMA…

0

Kocha Mkuu wa muda wa Klabu ya Simba, Juma Mgunda amesema yeye ni Kocha Mkuu wa muda wa Simba hivyo taarifa za Klabu ya Coastal Union hana taarifa nazo.Mgunda amesema hayo jana Alhamisi, Septemba 8, 2022 akiwa nchini Malawi na Wanamsimbazi kwa ajili ya mechi ya kombe la mabingwa Barani Afrika, ambapo miamba hao wa soka nchini watakipiga kesho...

SAKATA LA MGUNDA KUKOSA LESENI A YA CAF….TFF WAFUNGA MJADALA RASMI…WATOA ORODHA YA MAKOCHA WENYE LESENI A …

0

Baada ya kusambaa kwa taarifa kwamba Kocha Juma Mgunda hatakuwa kwenye benchi la Simba SC watakapovaana na Nyasa Big Bullets kwa kuwa hana cheti cha leseni inayomruhusu, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeibuja na kutoa ufafanuzi.Kwenye ufafanuzi huo, Juma Mgunda ameonekana anao uwezo wa kusimama kwenye benchi hilo kwa kuwa ni miongoni mwa makocha wenye Diploma A...

KUELEKEA MECHI ZA CAF….HII HAPA SABABU YA GEITA GOLD KUMUACHA GEORGE MPOLE…MECHI DHIDI YA SIMBA YATAJWA…

0

Kinara wa mabao msimu uliopita, George Mpole ameshindwa kusafiri na timu kwenda nchini Sudan kwaajili ya kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Geita Gold Jumapili Septemba 11 watakuwa ugenini dhidi ya Hilal Alsahil mchezo unaotarajiwa kuchezwa kwenye uwanja wa Port Sudan.Alipotafutwa Afisa Habari wa Geita Gold, Samweli Dida alikiri mchezaji huyo kuachwa Dar es Salaam kutokana na...

SAKATA LA KISINDA…YANGA WAZIDI KUKOLEZA MOTO…WAENDELEA KUTUPA MADONGO TFF KWA NAMNA WALIVYOWAGEUKA…

0

KLABU ya Yanga bado inaonekana kumpigania mchezaji wake mpya iliyomsajli kutoka RS Berkane, Tuisila Kisinda kuingia kwenye mfumo wa usajili badala ya Lazarous Kambole, ambaye ilimsajili kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.Yanga imeeleza kupeleka maombi kufanyika mabadiliko hayo mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, licha ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuzuia usajili huo.Kaimu Ofisa Mtendaji...

KLOPP ALIA MAMBO MAGUMU LIVERPOOL…KIPIGO CHA NAPOLI CHAIBUA MENGI MAZITO…

0

Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp amekiri kwamba timu yake ya Liverpool inahitaji kujipanga upya baada ya kipigo cha goli 4 kwa 1 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Napoli.Liverpool waliruhusu mabao matatu katika kipindi cha kwanza kabla ya kufungwa bao la nne katika hatua za mwanzo za kipindi cha pili. Luis Diaz aliifungia Liverpool bao la kufutia...