KISA MORRISON…SIMBA WAIWEKEA NGUMU YANGA KUMALIZANA NAYE KWA WAKATI…WADAI BADO WANAMLIPA MSHAHARA…
Uongozi wa Simba SC umesema hauna taarifa zozote kuhusu Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison kuwasilisha ombi la kutaka Barua ya…
Browse all posts in this category.
Uongozi wa Simba SC umesema hauna taarifa zozote kuhusu Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison kuwasilisha ombi la kutaka Barua ya…
MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally maarufu kama Saleh Jembe ameushauri uongozi wa Yanga kufanya mazungumzo na uongozi wa Simba ili kutafuta…
BAADA ya kumalizana na Moses Phiri kutoka Zanaco ya Zambia ikimpa mkataba wa kuitumikia Simba, mabosi wa timu hiyo hawajalala kwani wamenasa…
KIUNGO mshambuliaji wa Wydad Casablanca, Mtanzania Simon Msuva amekiri kufuatwa na kufanya mazungumzo na timu kongwe za Simba na Yanga kwa ajili…
Imeelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ yupo kwenye rada za Yanga na Simba ambao wanawania saini yake. Nyota…
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amekiri kuwa uongozi wa klabu yake unafahamu na kuujadili uwezo wa nyota kutoka Burkina Faso, Aziz…
Taarifa za kuaminika zinasema aliyekuwa kocha wa Kaizer Chiefs na kutimuliwa kabla ya mkataba wake kuisha Stuart Baxter raia wa Uingereza (68),…
Mshambuliaji Mpya wa Simba SC Moses Phiri amesema yupo tayari kuisaidia klabu hiyo kuanzia msimu ujao, baada ya kukamilisha mpango wa usajili…
Nyota wa Kimataifa wa Zambia, Moses Phiri amesema atahakikisha anatimiza jukumu lake kubwa la kushinda makombe akiwa na waajiri wake wapya, Simba…
Uongozi wa Simba umesema kuwa hauna hofu hata kama wakimkosa kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas, Stephane Aziz Ki kwani wapo wachezaji bora…
Simba SC imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Moses Phiri raia wa Zambia aliyekuwa anachezea Zanaco FC ya nchini humo kwa mkataba wa miaka miwili.…
Klabu ya Simba SC imeripotiwa kufikia makubaliano ya kumsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na klabu ya Bechem united FC ya Ghana…