BAADA YA KUONA MAKEKE YA OKRAH….KOCHA MAKI KAGUNA ..KISHA AKASEMA HAYA…ATIA ‘NDIMU’ USAJILI MASTAA WAPYA…
Kocha Zoran Maki juzi aliishuhudia timu yake kwa mara ya kwanza ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ismaily ikiwa kambini Ismailia, Misri…
Browse all posts in this category.
Kocha Zoran Maki juzi aliishuhudia timu yake kwa mara ya kwanza ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ismaily ikiwa kambini Ismailia, Misri…
Kiungo mpya wa Simba, Mnigeria Nelson Okwa wikiendi iliyopita aliiaga timu aliyokuwa akiichezea ya Rivers United kibabe kwa kuiongoza kutwaa ubingwa wa…
Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba SC Selemani Matola amesema maandalizi yanayoendelea Kambini Ismailia-Misri yatakua chachu kwa kikosi chao, kuelekea msimu ujao…
KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Simba, Aishi Manula ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuweza kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo.…
Nyota mpya wa Simba, Moses Phiri pamoja na wachezaji wengine wanne juzi walikwea pipa kwenda kambini Misri na jana wataanza kukiwasha sambamba…
Klabu ya Simba ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha inamalizana na straika wa Vipers, Cesar Manzoki ambaye mkataba wake umebaki miezi miwili, huku…
Hadi sasa Simba imetambulisha wachezaji watano wapya lakini staa wake wa msimu uliopita, Kibu Denis hahofii kupoteza namba yake kwani anaamini msimu…
Hatimaye Uongozi wa Klabu ya Al Hilal ya Sudan umethibitisha kumpa Baraka zote Beki kutoka Ivory Coast Mohammed Ouattara, anayetajwa kusajiliwa…
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Augustine Okrah amewaambia mashabiki wa klabu yake wategemee magoli zaidi kutoka kwake. Okrah amefunguka hayo mara…
Kocha Mkuu wa Simba SC Zoran Maki atakua na kazi ya kukata majina matatu ya wachezaji wa Kigeni endapo klabu hiyo itakamilisha…
Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Yusuph Mhilu amesema kuna uwezekano mkubwa akarudi Kagera Sugar kwa Mkopo, kufuatia kufikia makubaliano binafsi na Klabu…
Nyota watano wa Simba SC waliokuwa wamesalia jijini Dar, tayari wamewasili kambini Ismailia Misri kuungana na wenzao ambao walishatangulia nchini humo kwa…