KIMENUKAAH…WASAUZI WAISHITAKI SIMBA CAF KWA KUCHOMA UWANJA WAO MOTO…
MTENDAJI MKUU wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchini Afrika Kusini Tebogo Motlanthe amesema kitendo cha Klabu ya Simba kutoka Tanzania…
Browse all posts in this category.
MTENDAJI MKUU wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchini Afrika Kusini Tebogo Motlanthe amesema kitendo cha Klabu ya Simba kutoka Tanzania…
KESHO kutakuwa na mchezo wa watani wa jadi katika Ligi kuu Tanzania Bara ambapo Yanga itaikaribisha Simba. Simba katika mchezo wa mzunguko…
WINGA wa kimataifa wa Senegal anayecheza Simba, Pape Ousmane Sakho, amesema wala hana presha kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya…
Ni wazi kwamba mshambuliaji Chris Mugalu ameigharimu Simba katika mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika…
Nahodha Msaidizi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amesema wameshasahau kilichotokea Afrika Kusini, na sasa wamejikita kwenye…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally amesema anaamini Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo…
LICHA ya kwamba mkataba wake unaelekea ukingoni huku akihusishwa na kurejea Azam, kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula juzi usiku alitamka…
Bodi ya Wakurugenzi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC imekubaliana kutomfuta kazi kocha anayekinoa kikosi cha klabu hiyo kwa sasa,…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal na klabu ya Simba SC Pape Ousmane Sakho amesema yupo tayari kwa mchezo wa Jumamosi (April 30),…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, Franco Pablo Martin amesema hana budi kusahau yaliyotokea Afrika Kusini, ili kuangalia…
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameitabiria makubwa klabu ya Simba SC, baada ya kushindwa kufikia lengo la…
KOCHA wa mpito wa Manchester United, Ralf Rangnick amehoji uhalali wa matukio manne ambayo VAR ilitolea uamuzi katika mchezo wao dhidi ya…