BAADA YA KUTUA TZ….KAPOMBE AWAWASHIA MOTO YANGA….”MAONGEZI HAYATAKIWI….TUKUTANE April 30…”
Mlinzi wa klabu ya Simba Shomari Kapombe amewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo kuelekea mchezo wao wa Kariakoo Derby dhidi…
Browse all posts in this category.
Mlinzi wa klabu ya Simba Shomari Kapombe amewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo kuelekea mchezo wao wa Kariakoo Derby dhidi…
Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Edo Kumwembe amesema kuna ulazima Michezo ya Soka la Afrika ikachezwa bila usaidizi wa Teknolojia ya kumsaidia…
Kikosi cha Simba SC kimeanza Safari ya kurejea nchini kutokea Afrika ya kusini walikokwenda kwa ajili ya mchezo wa pili, Robo Fainali…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally ameendelea kuamini kikosi cha klabu hiyo kimepiga…
Mwanachama na Shabiki Kindakindaki wa Simba SC Yericko Nyerere ameonesha kuridhishwa na uwezo wa kikosi cha Simba SC kilichopambana dhidi ya Orlando…
Baada ya Yanga Princess kucheza mechi sita kwa misimu tofauti bila kupata ushindi mbele ya watani zao Simba, leo imefuta uteja huo…
Dakika 90 za Jasho zinakamilika kwa Simba kutolewa kwa Mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Orlando Pirates. Licha ya kucheza kwa zaidi…
Simba usiku huu wana kazi moja tu ya kuhakikisha wanaiondoa Orlando Pirates kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika iwe kwa sare…
Ni mpole, uso wake haukauki tabasamu na akianza kuzungumza huwezi kuamini yanatoka mdomoni kwake, je unajua ni nani huyo? Ni Ahmed Ally,…
Wawakilishi wa Tanzania Kunako michuano ya Kimataifa, Simba SC muda mchache kutoka sasa watakua na kibarua kizito mbele ya Orlando Pirates ya…
Simba ikiwa na hazina ya ushindi wa nyumbani wa bao 1-0, inatarajiwa kutua Johannesburg leo, tayari kwa mchezo wa marudiano dhidi ya…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Barbara Gonzalez amewahimiza Watanzania wanaoishi Afrika Kusini kufika Uwanja wa Orlando…