BREAKING NEWS….YANGA WATOA TAARIFA RASMI KUHUSU KUACHANA NA NABI…
TAARIFA: Uongozi wa Yanga unapenda kuwataarifu mashabiki na Wanachama wake kuwa Nasreddin Nabi, bado ni kocha mkuu wa timu yetu. Nabi alijiunga…
Browse all posts in this category.
TAARIFA: Uongozi wa Yanga unapenda kuwataarifu mashabiki na Wanachama wake kuwa Nasreddin Nabi, bado ni kocha mkuu wa timu yetu. Nabi alijiunga…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kitendo cha watani wao wa jadi, Simba kushindwa kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wa juzi…
Sasa ni rasmi unaweza kumwambia tu. kwamba Yanga imeachana na ‘Profesa’ Nabi Nasreddine Mohammed pamoja na msaidizi wake, Cedrick Kaze. Na kocha…
Kocha mpya ambaye anatarajiwa kujiunga na Yanga ni raia wa Brazil, Roberto Oliveira anayeinoa Vipers ya Uganda. Kocha huyo ndiye aliyeifunga Yanga…
Klabu ya Young Africans imeshukuru kwa kupata alama moja mbele ya watani zo Simba SC baada ya kulazimisha sare ya 1-1 jana…
Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa ufafanuzi wa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uganda Milutin Sredojević ‘Micho’, baada ya kuonekana…
BAO la Aziz KI limeisaidia timu yake kuambulia pointi moja baada ya sare ya bao 1-1 huku ikitimia siku 1,345 bila Simba…
WAKIWA wenyeji wa Mchezo Mabingwa watetezi Yanga wameshindwa kutamba mbele ya Simba baada ya kutoshana nguvu ya kufungana bao 1-1 mchezo wa…
Dakika 90 za Dabi ya Kariakoo zinakamilika kwa sare ya goli 1-1 kati ya vigogo Yanga dhidi ya wekundu wa Msimbazi Simba…
Huko Yanga unaambiwa mabeki wa timu hiyo hawataki masihara kwani wameweka wazi kuwa hawatakubali kufanya makosa na kuwaruhusu washambuliaji wa Simba wakiongozwa…
KIUNGO mchetuaji wa Yanga, Bernard Morrison leo ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Pia…
Vaibu la mashabiki wa Yanga na Simba limekolea kuelekea dabi ya Jumapili. Mastaa wa zamani wa Yanga wamedai mechi itamalizwa mapema kwa…