GAMONDI:- MECHI ZA MAPINDUZI CUP NI NGUMU BALAH….
KOCHA wa Yanga amesema kama kuna mtu anadhani mechi za Mapinduzi ni laini anakosea na kwamba hizo ni ngumu pengine kuliko Ligi…
Browse all posts in this category.
KOCHA wa Yanga amesema kama kuna mtu anadhani mechi za Mapinduzi ni laini anakosea na kwamba hizo ni ngumu pengine kuliko Ligi…
Wakati mashabiki wa Simba wakitamba kwamba watani wao Yanga wamewakimbia kwa kukubali kipigo mbele ya APR wamejibiwa wakiambiwa leteni barua ya kuomba…
Kwenye mchezo dhidi ya Jamhuri ,Yanga walicheza kawaida ila walikutana na timu ya kawaida wakaifunga magoli matano,mchezo dhidi ya Jamus walipata shida…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa yote yalitokea katika Kombe la Mapinduzi 2024 wanashukuru huku safari yao ikigotea robo fainali. Chini…
Yanga imekubali kipigo cha mabao 3-1 mbele ya APR ya Rwanda na kutupwa nje ya mashindano huku mashabiki wa watani wao Simba…
Anaandika Jemedari Saidi kupitia ukurasa wake wa kijamii,Kwa mujibu wa klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam Rais wake Eng. Hersi…
Kuelekea mchezo wa leo Jumapili dhidi ya APR ya Rwanda, Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Moussa Ndaw, amesema wamekiandaa kikosi vizuri kuhakikisha…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi mjanja sana. Baada ya kugundua kuna uwezekano wa kupigwa Kariakoo Derby katika michuano ya Kombe la…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Augustine Okrah anaendelea vyema na huenda akatumika katika mchezo unaofuta wa Kombe la Mapinduzi, ambapo Young Africans…
MASTAA wa Yanga ambao walifunga 2023 kwa kujenga ushikaji na benchi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara wamepewa onyo na benchi la…
WAKATI wadau wa soka wakiamini Yanga ina kikosi bora, kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi amevunja ukimya akisema kina tatizo ambalo linaweza…
Kiungo aliyewahi kucheza Simba SC ambaye hivi sasa anakipiga Young Africans, Jonas Mkude, ameupongeza uongozi wa timu hiyo kwa kumsajili Augustine Okrah…