MASHINE HII HAPA…..YANGA WAITIBULIA AS VITA DILI LA KUMPATA….WAMTUMIA MKATABA ‘CHAP’ HARAKA…
YANGA imeitibulia AS Vita ya DR Congo baada ya kuizidi kete kwa kumnyakua winga kutoka Union Maniema, Basiala Agee, jambo lililomfanya kocha…
Browse all posts in this category.
YANGA imeitibulia AS Vita ya DR Congo baada ya kuizidi kete kwa kumnyakua winga kutoka Union Maniema, Basiala Agee, jambo lililomfanya kocha…
INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Medeama Jonathan Sowa. Hiyo yote ni kwa ajili…
Rais wa Klabu ya Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya…
Baada ya kufanya mazoezi na Yanga Princess kwa miezi mitatu, Kaeda Wilson raia wa Marekani amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuwatumikia wananchi…
Baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa Konkon anaenda Ghana kwa mkopo ,mshambuliaji huyo amekanusha taarifa hizo kwa kusema. “Mimi nimeomba tu ruhusa…
Kilichosalia kwenye dili la winga wa Union Maniema Basiala Agee, labda ni kutua nchini tu, baada ya Yanga kumtumia mkataba haraka ikiwa…
Klabu ya Young Africans imesema imebakiza nafasi mbili za Usajili, ikiweka wazi aina ya wachezaji itakaowasajili kuwa ni wale tu ambao hawajacheza…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana, Augustine Okrah ameweka wazi kila kitu ambacho alizungumza na Rais wa Young Africans, Injinia Hersi Said kabla…
Uongozi wa Young Africans umeweka wazi kuwa usajili ambao wanafanya kwenye timu hiyo ni wa akili kubwa ukiwa na malengo ya kuongeza…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Miguel Gamondi, amefichua kuwa winga mpya wa timu hiyo, Augustine Okraha ataonekana…
Inaarifiwa kuwa klabu ya Yanga imeanza mazungumzo na klabu ya Singida Fountain Gate juu ya kumwachia mchezaji wao Jesus Moloko kwenda kwa…
YANGA leo inarejea tena Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kutafuta ushindi wake wa pili, baada ya juzi kuichapa Jamhuri mabao 5-0…