MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI UTAZAME HAPA
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili kwa sasa upo namna hii.
Browse all posts in this category.
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili kwa sasa upo namna hii.
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Abdalah Mohamed, ‘Bares’ amesema kuwa wachezaji wake walipata nafasi na kushindwa kuzitumia mbele ya Yanga kwenye mchezo…
KLABU ya Mwadui FC inayonolewa na Kocha Mkuu Salhina Mjengwa imekuwa ni timu ya kwanza kushuka daraja kwa msimu wa 2020/21 ndani ya…
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili kwa sasa
UWANJA wa Jamhuri, Dodoma JKT Tanzania 0-0 Yanga Dakika ya 42 Kibwana Shomari anapewa huduma ya Kwanza Dakika ya 40 Maicon anatoa…
KIKOSI cha JKT Tanzania leo kitakachoanza dhidi ya Yanga, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
LEO Mei 19 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo kuna mechi mbili zinachezwa ili kusaka pointi tatu muhimu. Mchezo wa mapema kabisa…
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Abdalah Mohamed, ‘Bares’ amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara…
KOCHA mpya wa Mtibwa Sugar, Mohamed Badru leo Mei 18 ameanza kazi yake kwa timu yake kusepa na pointi tatu jumla mbele…
BADRU Mohamed Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar tayari ameanza kazi ya kukinoa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu Bara. Kwenye msimamo wa Ligi…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili ndani ya ligi kila timu ikipambania kutimiza malengo.
MOHAMED Abdalah, ‘Bares’ , Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zilizobaki ili…