BAADA YA SIMBA KUMTEMA MKUDE KOCHA WA YANGA KUAMUA JAMBO HILI
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi…
Browse all posts in this category.
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi…
Baada ya juhudi za kumshawishi kuendelea kuitumikia timu yao kukwama, uongozi wa Klabu ya Young Africans, umefikia makubaliano ya pamoja kumweka sokoni…
Klabu ya Singida Fountain Gate, imeweka wazi malengo yao kuelekea msimu ujao wa michuano yote watakayoshiriki msimu wa 2023/24, huku ikishindwa kukunjua…
Pamoja na kutangaza wachezaji watatu mpaka sasa, klabu ya Simba SC imesema bado haijamaliza zoezi la usajili, huku ikitangaza nafasi tatu hadi…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans leo Jumanne (Julai 11) ulitarajiwa kumpokea beki wa kulia wa ASEC Mimosas ya…
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limebadilisha jina la Michuano yake mapya, lakini Rais, Patrice Motsepe amesisitiza yatakuwa na neema kubwa ya…
Imefahamika kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umepanga kumtambulisha kiungo wao mpya kutoka DR Congo, Fabrice Luamba Ngoma kama mchezaji wa mwisho…
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga SC ,Nasreddine Nabi ameorodheshwa na Mtandao wa Foot-African.com kwenye orodha ya Makocha waoanowania Tuzo ya…
Wakati vilabu vya Simba, Azam FC na Singida wakiendelea kutangaza sajili zao kila kunapokucha. Hali ni tofauti kwa Klabu ya Yanga ambao…
Beki wa timu ya taifa ya Uganda (Uganda Cranes) Gift Fred amejiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC. Beki…
Baada ya taarifa kusambaa za kuondoka kwa Mshambualiaji kinara wa Simba SC, Jean Baleke huku ikisemekana ameachana na Timu hiyo, Meneja wa…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi na Klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza, amesema amerejea kivingine kwenye majukumu yake ndani ya klabu hiyo…