KUELEKEA MECHI DHIDI YA YANGA…HUU HAPA MSIMAMO WA SIMBA KUENDELEA NA MGUNDA…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amesema wana imani kubwa na Kocha Juma Mgunda kuelekea mchezo wa Ligi…
Browse all posts in this category.
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amesema wana imani kubwa na Kocha Juma Mgunda kuelekea mchezo wa Ligi…
Beki wa Kulia wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Djuma Shaban amelalamikiwa kwa kushindwa kujitunza na kuruhusu mwili wake kuongezeka…
Aliyekua Kocha wa Young Africans Mwinyi Zahera amesema anaamini kujiamini na utayari wa Wachezaji wa Simba SC ndio sababu kubwa ya klabu…
Aliyekua Kocha Mkuu wa Young Africans Mwinyi Zahera amemkingia kifua Kiungo Ibrahim AJibu, ambaye anadaiwa kushuka kiwango tangu alipoondoka Simba SC na…
Uongozi wa Simba SC umefichua Siri ya Mafanikio katika Michuano ya Kimataifa, baada ya kufanikiwa kurejea Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa…
Mwaka 1998, Tito Mwaluvanda aliiongoza Yanga kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6-1 na hivyo vigogo hao wa Tanzania kuwa moja ya timu…
Kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kupigwa Jumapili hii, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa watani…
Ofisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amewatuliza wachezaji wa Yanga baada ya kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani…
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Mulamu Ng’ambi amesema, kufuzu Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa kuitupa nje…
Wawakilishi wa Tanzania kunako michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga hatimaye wameshusha pumzi baada ya kujua wanacheza na nani hatua…
Leo Oktoba 18, 2022, Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC imetia saini mkataba wa miezi sita na Shirika la Umoja…
Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi, amewaambia wachezaji wake wanahitaji kubadilika kama wanataka kushinda ubingwa wa La Liga msimu huu hiyo ni…