KUFUATIA KUSAJILI MASTAA WENGI WA MAANA….NABI AVUNJA UKIMYA KUHUSU NAFASI YA SURE BOY KIKOSINI….
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohamed Nabi ametuliza hofu kwenye kikosi chake, kufuatia usajili wa baadhi…
Browse all posts in this category.
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohamed Nabi ametuliza hofu kwenye kikosi chake, kufuatia usajili wa baadhi…
Klabu ya Fenerbahce inayoshiriki ligi kuu ya nchini Uturuki imesitisha mkataba na mchezaji wake wa kimataifa kutoka nchini Ujerumani Mesut Ozil kabla…
Klabu ya Azam ni kama safari hii wameamua kuiiga Simba kwa kila kitu, kwanza wakati Simba wakisema wanaenda Misri kwa kambi, nao…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa, Tarimba Abbas, amewatakia heri Klabu ya Simba kwa kuingia mkataba mpya na M-Bet, huku akiwashukuru…
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji, Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’ baada ya kandarasi yake kumalizika. Balama alijiunga na Yanga Juni…
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Fiston Kalala Mayele ameahidi kuanza msimu mpya wa 2022/23 kwa aina tofauti ya…
Klabu ya Geita Gold yenye maskani yake Mkoani Geita, imesema hatma ya mshambuliaji wao George Mpole ni kuendelea kusalia katika klabu hiyo.…
Rasmi Klabu ya Simba juzi ilimtambulisha kocha mkuu, Zoran Maki ambaye ameelewa matumaini mapya ndani ya klabu hiyo msimu ujao na akiwataka…
Yanga imemalizana beki Mkongomani,Joyce Lomalisa ambae ametambulishwa tayari baada ya kuzungumzwa kwa wiki kadhaa. Kocha Mkuu wa Yanga, amefurahia usajili uliofanywa na…
Klabu ya Yanga SC, leo Alhamisi, Julai 14, 2022 imetangaza kuachana na mchezaji wake mwandamizi, Deus Kaseke ‘Mwaisa’ (27) na kumtakia kila…
Kocha mkuu wa Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Julai 15, 2022, kujiandaa na Kombe la Mataifa ya Afrika…
Beki mpya wa Singida Big Stars ‘SBS’ Abdulmajid Mangalo ameelezea jinsi ambavyo familia na wasimamizi wake walivyomkataza kujiunga Simba. Mangalo amejiunga SBS…