KUELEKEA MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA NA SHIRIKISHO..CAF WASHUSHA RUNGU TZ..WAFUNGIA UWANJA
Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limeupiga chini Uwanja wa CCM Kirumba kutumika kwa ajili ya michuano ya Kimataifa msimu wa 2021/22.…
Browse all posts in this category.
Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limeupiga chini Uwanja wa CCM Kirumba kutumika kwa ajili ya michuano ya Kimataifa msimu wa 2021/22.…
KLABU ya Simba SC, Ezekiel Kimwaga leo Septemba 3, 2021amesema kuwa kuelekea katika Simba Day inayotarajiwa kufanyika Septemba 19 wanakuja na slogan…
KLABU ya Simba imeweka wazi kuwa kwa sasa jezi mpya kwa msimu wa 2021/22 zinapatikana kwenye maduka yote ya Vunja Bei. Ezekiel…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC kwa kushirikiana na Mzabuni wa Ubunifu na Uuzaji wa jezi za klabu hiyo,…
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa mchezo wao wa jana dhidi ya DR Congo ulikuwa ni…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi kimezidi kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa 2021/22. Baada ya kufanikiwa kufanya…
MANCHESTER United inaamini kwamba itasepa na saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund bila wasi msimu ujao kwa mbinu kali. United kwa muda…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Al Wahda FC ya nchini Libya, Adam Adam amefanikiwa kujiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili. Adam kabla ya kujiunga na Polisi Tanzania…
BAADA ya kulikosa taji la Euro 2020 timu ya taifa ya England imeanza kwa mwendo matata katika mchezo wake wa kutafuta tiketi…
MUASISI wa Simba Day, Hassan Dalali ametoa hamasa kwa mashabiki wa timu hiyo, kujitokeza kwa wingi Septemba 19, ili kudhihirisha wao ndio…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
BAADA ya kumaliza Tamasha la Wiki ya Wananchi na kuwatambulisha wachezaji wake wapya kwa mashabiki na kulala kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi…