Mangungu Aitumia Ujumbe Mzito Afrika Baada ya Simba Kushinda 6-1
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu, ametoa onyo kali kwa klabu za Afrika baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi mnono wa…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Simba SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea habari za <strong>Simba SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu, ametoa onyo kali kwa klabu za Afrika baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi mnono wa…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema ushindi mnene wa mabao 6-1 dhidi ya Mighty Wanderers ya Malawi haukuwa wa bahati,…
Klabu ya Simba SC imetinga hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo baada ya kuishushia kipigo kizito cha mabao 6-1…
DAR ES SALAAM, Tanzania — Mkuu wa Benchi la Ufundi la Simba SC, Steve Barker, ameweka wazi kuwa ushindi wa bao 1-0…
Kikosi cha Simba SC kinashuka dimbani kesho Jumapili katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kikiwa…
MSHAMBULIAJI hatari wa Simba SC, Ibrahim Doumbia, ni miongoni mwa nyota wanaoelekeza nguvu zote kwenye mazoezi maalumu kuelekea mchezo wa marudiano wa…
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Libasse Gueye, ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa msimu…
NAHODHA wa Simba SC, Rushein De Reuck, ameweka wazi kuwa ushindi walioupata ugenini dhidi ya Mighty Wanderers ya Malawi umeongeza morali na…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ametoa onyo kali kwa wachezaji wake dhidi ya kulewa matokeo ya mchezo wa kwanza na…
Winga wa kushoto wa Simba SC, Kalesto Makgalwa, ameweka wazi siri iliyomfanya achague kujiunga na Wekundu wa Msimbazi licha ya watani zao…
Kiungo mchezeshaji wa Simba SC, Clatous Chama, amewataka mashabiki na wadau wa soka kutojisahau kufuatia mwanzo mzuri wa msimu, akisisitiza kuwa mbio…
Klabu ya Simba SC imepata ingizo jipya na la muhimu kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mighty…