GOMES AFURAHISHWA NA UWEZO WA WACHEZAJI WAKE
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi ya msimu ujao yanakwenda vizuri huku akifurahishwa na uwezo wa wachezaji ambao wanauonyesha.…
Browse all posts in this category.
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi ya msimu ujao yanakwenda vizuri huku akifurahishwa na uwezo wa wachezaji ambao wanauonyesha.…
WAKIWA nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22, ghafla gumzo kubwa limekuwa juu ya muonekano mpya wa kiungo wa…
WAKIWA ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 ni huduma ya nyota wawili ambao mpaka sasa ni uhakika kwamba…
Na Ezekiel Kamwaga NIMEMALIZA kuzungumza kwa simu na mwandishi kutoka Malawi, Brighton Kanyama, na ameniuliza jambo moja tu; Simba Day ni lini?…
HAKUNA kisingizio Septemba 25, mwaka huu kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utakuwa ni ufunguo wa msimu wa 2021/22 hapa nchini ambapo Simba SC watacheza dhidi ya Yanga…
LICHA ya kumshuhudia kiungo mpya wa Simba, Msenegal Pape Ousmane Sakho, akiichezea timu yake ya Simba kwa mara ya kwanza katika mechi…
KIKOSI Bora, hiyo ni kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ akiwataka mashabiki wao…
KAMBI ya Simba imenoga baada ya kiungo fundi wa mpya, Saido Kanoute akitua na kulimsha mapema pamoja na wenzake, usajili uliofanywa na…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umekanusha taarifa za kufanyika kwa Tamasha la Simba Day siku ya Jumamosi (Agosti…
PATRICK Rweyemamu, meneja wa Simba amesema kuwa wanaendelea vema na kambi nchini Morocco huku changamoto kubwa ikiwa ni kupungua kwa wachezaji. Kupungua…
STRAIKA Mghana, Christain Zigah anayekipiga Biashara United amesema amekutana na mabeki mbalimbali katika Ligi Kuu Bara, lakini kwa Joash Onyango wa Simba…
JIMMYSON Mwanuke ametua Simba, huku baadhi ya mashabiki wakijiuliza atauweza mtiti wa pale Msimbazi, lakini kocha wake wa zamani aliyemnoa Gwambina, Mohammed…