WEWEEH..AJIBU BADO YUPO SANA MSIMBAZI..AONGOZA NYOTA HAWA WAPYA KWENDA MOROCCO
BAADA ya Soka la Bongo kuripoti kuwa kiungo wa Simba, Ibrahim Ajibu amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia wekundu hao wa…
Browse all posts in this category.
BAADA ya Soka la Bongo kuripoti kuwa kiungo wa Simba, Ibrahim Ajibu amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia wekundu hao wa…
Katika kile kinachoashiria safari ya Luis Miquissone kujiunga na Al Ahly ya Misri imeiva, winga mpya wa Simba, Peter Banda amepewa jezi…
CLATOUS Chama kiungo namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho anatajwa kujiunga na Klabu ya RS Berkane ya Morocco kwa dili la…
Beki kutoka DR Congo Henoc Inonga Baka ‘Varane’ amesafiri jana Alhamis kuelekea mjini Casablanca nchini Morocco, kwa ajili ya kujiunga na wachezaji…
SIMBA iko kwenye hatua nzuri ya kumalizana na straika Mghana, Abdul Basit Khalid aliyeachana na Esperance ya Tunisia . Habari za uhakika…
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba, Rally Bwalya amefunguka kuwa bado hajapewa taarifa yoyote ya kuhitajika na Wababe wa soka la Morocco,…
MSHAMBULIAJI wa DC Motema Pembe ya nchini DR Congo, Kadima Kabangu amefunguka kuwa tayari ameshamalizana na Simba na wiki hii kila kitu…
SIMBA imekwea pia juzi kwenda Morocco kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na Ligi Kuu Bara na mashindano ya kimataifa huku Jonas…
KIKOSI cha Simba kimewasili salama Morocco ambapo kimekwenda huko kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22. Mabingwa…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ ameeleza katika miaka minne tangu ameingia Simba ametumia sio chini ya Sh21.3…
Straika Kadina Kabangu wa Motema Pembe na timu ya Taifa ya DR Congo amezungumza na viongozi wa Simba na huenda wakamshusha jijini…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Peter Banda anaigia kwenye rekodi ya nyota wanaokomba mshahara mrefu kwa mwezi kwa wachezaji. Bei yake inatajwa kuwa…