SIMBA YAKWEA PIPA KUIBUKIA MOROCCO
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara…
Browse all posts in this category.
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara…
TUNAISHI katika dunia ya mitandao. Mchezaji anayeitwa Clatous Chama aliamua kwenda mubashara kwa mashabiki wake katika mtandao wake wa kijamii unaoitwa Instagram.…
YUSUSPH Mhilu, ingizo jipya ndani ya Simba akitokea Klabu ya Kagera Sugar amesema kuwa atawashangaza wengi ambao hawampi nafasi ya kufanya vizuri…
WAKATI Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ikitarajia kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya kambi kuna maingizo ya wachezaji…
BAADA ya mapumziko mafupi waliyopewa na benchi lao la ufundi, nyota wa Simba wakiwamo wale wapya waliosajiliwa hivi karibuni, wanatarajiwa kuliamsha dude…
SIKU chache baada ya kushusha winga teleza, Peter Banda kutoka Malawi, mabosi wa Simba hawajamaliza kazi kwani, wanajiandaa kumshusha kiungo fundi wa…
IMEELEZWA kuwa mshambuliaji wa Simba, Chris Mugalu yupo kwenye rada za Klabu ya RS Berkane ya Morocco ambayo inafundishwa na Kocha Mkuu,…
NYOTA wa Simba, Clatous Chama amerejea ndani ya ardhi ya Bongo akitokea Zambia ambapo alikuwa kwa ajili ya mapumziko. Chama ambaye ni…
Kiungo fundi kutoka nchini Zambia na klabu ya Simba SC Clatous Chotta Chama, amewataka baadhi ya wadau wa soka Tanzania kuacha mpango…
Kocha mkuu wa Klabu ya RS Berkane ya Morocco Florent Ibenge emeutaka uongozi wa klabu hiyo kutuma ofa kwa Mabingwa wa Tanzania…
BAADA ya kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Simba, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City, Kibu Denis sasa ameanza na programu maalum ya…
BAADA ya kukamilisha usajili wa kujiunga na Simba, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City, Kibu Denis, ameanza programu maalum ya mazoezi ya gym kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea msimu ujao…