Simba SC

Browse all posts in this category.

Post thumbnail placeholder
Simba SC

CHAMA KUMPA SAPOTI LUIS KUIBUKIA AL AHLY YA MISRI

 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, amefunguka kuwa atamsapoti mchezaji mwenzake na rafiki yake mkubwa, Luis Miquissone ikiwa nyota huyo atafanya maamuzi ya kukubaliana na ofa ya kujiunga na Mabingwa wa Afrika, Al Ahly. Al Ahly wamekuwa wakiiwinda saini ya…

Aug 6, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

MSHAMBULIAJI NAMBA MOJA KMC AOMBA KURUDI SIMBA

MSHAMBULIAJI Charles Ilnfya ambaye alipelekwa kwa mkopo ndani ya KMC ili akuze kiwango chake, amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurudi Simba ili kuendelea pale alipoishia. Nyota…

Aug 6, 2021