MANYIKA PETER: SIMBA INA WACHEZAJI WANAKIMBIA BILA MPIRA HAWA NI HATARI
KOCHA wa makipa wa zamani wa Yanga, Manyika Peter amesema kwa namna ambavyo Simba wanavyocheza ni ngumu kukabiliana nao kwa sababu uwezo wao kwa sasa ni mkubwa zaidi ya wachezaji wengi ligi kuu. Simba na…